Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.

Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja. Wanaojua waiweke vizuri hii adhabu. Yanga wanajizima data kukubali kwamba Bodi iliahirisha mechi baada ya Simba kuandika barua yao. Haya tuchukulie Bodi na TFF wanaamua kuishusha Simba daraja. Yanga watafuraaahi!

Twende kwa upande wa Yanga ambao walikaidi taarifa rasmi na amri ya kuahirishwa mchezo wakapeleka timu uwanjani hadi kupelekea kifo cha yule mshabiki wao. Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja. Kwa maana hiyo bodi ina machaguo ya kuamua kati ya adhabu hizo mbili au kwenda na zote. Yanga nayo ishushwe daraja.

Simba na Yanga zirudi ligi daraja la kwanza kama enzi zile za kina Said Mwamba Kizota na Edward Chumila. Ligi Kuu tuwaachie kina Mtibwa na JKT.

Au mnaonaje wadau, si tufuate kanuni?
 
Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja.
Kasome tena kanuni mpya za ligi baada ya marekebisho ya 2024.
Hicho kipengele cha kushushwa daraja hakipo kiliondolewa ikabaki faini ya 5M tu.

Simba mmevuruga viongozi wa wa bodi ya ligi kukimbia mechi.
Ona Sasa kiongozi wa bodi ya ligi na wa TFF wanaongea kama walevi wanaropoka bila hekima.
 
Kasome marekebisho ya kanuni ya mwaka 2024 alafu urudi Tena hapa
 
Kwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.
 
Kosa lilianza kw yanga au simba?

Je yanga wangetii kutoenda uwanjani, nguvu ya kudai haki yao ingetoka wapi?
 
Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.

Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja. Wanaojua waiweke vizuri hii adhabu. Yanga wanajizima data kukubali kwamba Bodi iliahirisha mechi baada ya Simba kuandika barua yao. Haya tuchukulie Bodi na TFF wanaamua kuishusha Simba daraja. Yanga watafuraaahi!

Twende kwa upande wa Yanga ambao walikaidi taarifa rasmi na amri ya kuahirishwa mchezo wakapeleka timu uwanjani hadi kupelekea kifo cha yule mshabiki wao. Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja. Kwa maana hiyo bodi ina machaguo ya kuamua kati ya adhabu hizo mbili au kwenda na zote. Yanga nayo ishushwe daraja.

Simba na Yanga zirudi ligi daraja la kwanza kama enzi zile za kina Said Mwamba Kizota na Edward Chumila. Ligi Kuu tuwaachie kina Mtibwa na JKT.

Au mnaonaje wadau, si tufuate kanuni?
Mkuu achana na hawa watu, hawatakuelewa maama kwenye Klabu hiyo wenye akili timamu hawazidi wawili.
Katika hili Yanga mgomvi wao ni Bodi ya ligi.
Simba imelalamikia haki yake ya kufanya mazoezi ambayo imeporwa kinyume cha kanuni, malamiko yetu yamesikilizwa, mechi imeairishwa.
Yanga waendelee kupambana tuone wataishia wapi.
 
Mkuu achana na hawa watu, hawatakuelewa naama kwenye Klabu hiyo wenye akili timamu hawazidi wawili.
Katika hili Yanga mgomvi wao ni Bodi ya ligi.
Simba imelalamikia haki yake ya kufanya mazoezi ambayo imeporwa kinyume cha kanuni, malamiko yetu yamesikilizwa, mechi imeairishwa.
Yanga waendelee kupambana tuone wataishia wapi.
Naandika lugha Kali:"Apigaye" moto kwa matarajio apate faraja ya haki ya ndoa huishia kuungua mavoooz tu.
 
Hili swali waulize akina Magori na uongozi wote wa Simba au bodi ya ligi.
Simba mligomea mechi na bodi ya ligi ikavunja kanuni kwa niaba yenu mkijua mtamaliza kihuni? Mkijua mnawamudu watanzania wapenda soka shabiki wote wa Simba na Yanga mliowaingiza hasara na usumbufu siku mliyo viruga mechi?
Kwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.
 
Bodi ya ligi hii issue inawachanganya sana maana wamelikorogo wenyewe issue imekuwa tight
 
Back
Top Bottom