DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kasome tena kanuni mpya za ligi baada ya marekebisho ya 2024.Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja.
Kasome marekebisho ya kanuni ya mwaka 2024 alafu urudi Tena hapaKuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.
Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja. Wanaojua waiweke vizuri hii adhabu. Yanga wanajizima data kukubali kwamba Bodi iliahirisha mechi baada ya Simba kuandika barua yao. Haya tuchukulie Bodi na TFF wanaamua kuishusha Simba daraja. Yanga watafuraaahi!
Twende kwa upande wa Yanga ambao walikaidi taarifa rasmi na amri ya kuahirishwa mchezo wakapeleka timu uwanjani hadi kupelekea kifo cha yule mshabiki wao. Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja. Kwa maana hiyo bodi ina machaguo ya kuamua kati ya adhabu hizo mbili au kwenda na zote. Yanga nayo ishushwe daraja.
Simba na Yanga zirudi ligi daraja la kwanza kama enzi zile za kina Said Mwamba Kizota na Edward Chumila. Ligi Kuu tuwaachie kina Mtibwa na JKT.
Au mnaonaje wadau, si tufuate kanuni?
Mbumbumbu na manyani ni wale wanaogombea kitu ambacho hakipo na wanajua huwa hawashindi kesi yoyote hata ya kuzomewa wakiwa hawajavaa nguo.Mbumbumbu mnahaha
Kasome tena kanuni mpya za ligi baada ya marekebisho ya 2024.
Hicho kipengele cha kushushwa daraja hakipo kiliondolewa ikabaki faini ya 5M tu.
Simba mmevuruga viongozi wa wa bodi ya ligi kukimbia mechi.
Ona Sasa kiongozi wa bodi ya ligi na wa TFF wanaongea kama walevi wanaropoka bila hekima.
Kwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.Kasome marekebisho ya kanuni ya mwaka 2024 alafu urudi Tena hapa
Kosa lilianza kw yanga au simba?Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.
Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja. Wanaojua waiweke vizuri hii adhabu. Yanga wanajizima data kukubali kwamba Bodi iliahirisha mechi baada ya Simba kuandika barua yao. Haya tuchukulie Bodi na TFF wanaamua kuishusha Simba daraja. Yanga watafuraaahi!
Twende kwa upande wa Yanga ambao walikaidi taarifa rasmi na amri ya kuahirishwa mchezo wakapeleka timu uwanjani hadi kupelekea kifo cha yule mshabiki wao. Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja. Kwa maana hiyo bodi ina machaguo ya kuamua kati ya adhabu hizo mbili au kwenda na zote. Yanga nayo ishushwe daraja.
Simba na Yanga zirudi ligi daraja la kwanza kama enzi zile za kina Said Mwamba Kizota na Edward Chumila. Ligi Kuu tuwaachie kina Mtibwa na JKT.
Au mnaonaje wadau, si tufuate kanuni?
Masuala ya kikanuni yanaamuliwa kikanuni na sio vinginevyoKwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.
Milioni 5 kwa yanga ni kama ya kujitawazia tu au ya kuchamba mavi..faini hizi bodi wanatakiwa waweke hata milioni 50 Hadi 100..Kwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.
Hapakua na uhalali wa kuahirisha mechi mashabiki wakiwa uwanjani,saa nne kabla ya mechiKwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.
Mkuu achana na hawa watu, hawatakuelewa maama kwenye Klabu hiyo wenye akili timamu hawazidi wawili.Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.
Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja. Wanaojua waiweke vizuri hii adhabu. Yanga wanajizima data kukubali kwamba Bodi iliahirisha mechi baada ya Simba kuandika barua yao. Haya tuchukulie Bodi na TFF wanaamua kuishusha Simba daraja. Yanga watafuraaahi!
Twende kwa upande wa Yanga ambao walikaidi taarifa rasmi na amri ya kuahirishwa mchezo wakapeleka timu uwanjani hadi kupelekea kifo cha yule mshabiki wao. Adhabu ya kutotii mamlaka na amri ya Bodi ya Ligi ni faini ya milioni 5 na/au kushushwa daraja. Kwa maana hiyo bodi ina machaguo ya kuamua kati ya adhabu hizo mbili au kwenda na zote. Yanga nayo ishushwe daraja.
Simba na Yanga zirudi ligi daraja la kwanza kama enzi zile za kina Said Mwamba Kizota na Edward Chumila. Ligi Kuu tuwaachie kina Mtibwa na JKT.
Au mnaonaje wadau, si tufuate kanuni?
Naandika lugha Kali:"Apigaye" moto kwa matarajio apate faraja ya haki ya ndoa huishia kuungua mavoooz tu.Mkuu achana na hawa watu, hawatakuelewa naama kwenye Klabu hiyo wenye akili timamu hawazidi wawili.
Katika hili Yanga mgomvi wao ni Bodi ya ligi.
Simba imelalamikia haki yake ya kufanya mazoezi ambayo imeporwa kinyume cha kanuni, malamiko yetu yamesikilizwa, mechi imeairishwa.
Yanga waendelee kupambana tuone wataishia wapi.
Kwa hiyo mnajua adhabu mnazimudu ndiyo maana mnazivunja? Mnavyoiongelea hiyo milioni 5 ni dhahiri hamkujali kuivunja hiyo kanuni.