Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

Kosa lilianza kw yanga au simba?

Je yanga wangetii kutoenda uwanjani, nguvu ya kudai haki yao ingetoka wapi?
Hata Yanga wenyewe walifika na kuondoka muda ambao kikanuni siyo sahihi kwa muda uliopangwa kuchezwa mechi ile kwa hiyo kikanuni hawawezi kuhesabiwa kuwa wamefuata taratibu za mchezo.
 
Porojo za kipuuzi, sema hayo ni mawazo yako
 
Naona laana ya kususia mechi imeanza kuwatafuna. Kila mtu anaongea la kwake.
 
Hata Yanga wenyewe walifika na kuondoka muda ambao kikanuni siyo sahihi kwa muda uliopangwa kuchezwa mechi ile kwa hiyo kikanuni hawawezi kuhesabiwa kuwa wamefuata taratibu za mchezo.
Muda uliopangwa ulikuwa ni wa saa 11 jioni! Ule wa saa moja ulipangwa kwa kutokufuata kanuni ili tu kumfurahisha mwanasiasa mmoja wa ccm aliyetaka hiyo mechi isogezwe mbele kwa matakwa yake! Na ndiyo maana Yanga walisisitia kwenda uwanjani saa 11 jioni. Na walifanya hivyo. Na katika mazingira ya aina hii huwezi kusema eti Yanga walisusa/waligoma kupeleka timu uwanjani!

Yanga waligomea ukanjanja wa watu wachache wasioheshimu misingi na kanuni za mpira wa miguu, na hivyo kufanya kazi zao kwa mashinikizo kutoka kwa wanasiasa wa ccm.
 
Wewe unaongelea mechi gani? Hapa tunaongelea derby ya 08/03/2025 iliyokuwa ichezwe kuanzia saa 1.
 
Wewe unaongelea mechi gani? Hapa tunaongelea derby ya 08/03/2025 iliyokuwa ichezwe kuanzia saa 1.
Mechi ya 2021 ambayo huwa mnaitumia kupotosha eti Yanga ilisusia.

Hii ya tarehe 8 mjadala ulishafungwa kitambo. Mliingia mitini kwa kuhofia kichapo!
Halafu mkawatumia watu wenu kwenye Bodi ya ligi ili kuwaunga mkono kwenye nia yenu ovu. Matokeo yake ndiyo haya sasa ya kuweweseka kwa hao viongozi baada tu ya kukaliwa kooni na wababe wenu Yanga.
 
Usichoelewa ni nini? Nimemjibu huyo aliyesema Yanga ilipeleka timu uwanjani kwenye mechi ya tarehe 08 kwa kumuonyesha kuwa hata kikanuni na kisheria, Yanga unaweza kutafsiri haikufika uwanjani siku hiyo maana haikufika na kuondoka muda unaotakiwa. Muda rasmi wa mchezo Yanga haikuwepo uwanjani, wachezaji tayari walikuwa kwenye bodaboda wanarudi makwao.
 
Pumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…