Ni kweli Mkuu.. Kumbuka Simba akimaliza kucheza na Mbeya City jiini Mbeya itabidi aanze safari ya kuelekea kuwatafuta Prisons. Akimalizana nao anaelekea Tanga, kuwatafuta Costal. Hiii si nzuri kwa afya ya wachezaji.Fafanua,
Hapo average ni mechi kila baada ya siku 5
Ni sawa, tumecheza mechi nyingi sana nyumbani now ni muda wa kuzipambania points ugenini.Baada ya Jana, Simba SC kuchukua point 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo:...
Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Si mtakuwa mnamixia na za home so tulia tu muzeye.Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Yes, athari zake ni kubwa sana...itaahiri uwezo wa wachezaji hasa kwenye mechi ngumu za kiushindani kama CCL, huo ndo udhaifu wa bodi yetu ya Ligi. Ushauri wangu kuna baadhi ya mechi zinapaswa kusogezwa mbele kutoa nafasi kwa wachezaji ku recover.Ni kweli Mkuu. Bodi ya ligi walitakiwa walione hili mapema. Athari ya hili inaweza tokea katika group stages za CAFCL.
Ratiba ya CAFCL ikitoka ratiba ya NBC PL lazima ifumuliwe upya. Ukiangalia ratiba ya sasa ya NBC PL kila baada ya siku 4 au 5 mechi.Yes, athari zake ni kubwa sana...itaahiri uwezo wa wachezaji hasa kwenye mechi ngumu za kiushindani kama CCL, huo ndo udhaifu wa bodi yetu ya Ligi. Ushauri wangu kuna baadhi ya mechi zinapaswa kusogezwa mbele kutoa nafasi kwa wachezaji ku recover.
Kadri ulivyofurahia za ndani kufuatana vivyo hivyo tufurahie za njeNi sahihi Mkuu. Lakini, inakuaje unapanga ratiba timu imalize mechi 4 ugenini za mzunguko wa kwaza na ianze mechi 3 za mzunguko wa pili ugenini? Hiii ni akili kweli?!