Bodi ya ligi ya NBC PL, na hili nalo mkalitizame

Bodi ya ligi ya NBC PL, na hili nalo mkalitizame

ninosi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
151
Reaction score
333
Baada ya jana, Simba SC kuchukua alama 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo;

  • 19-11-2022 Ruvu Shooting - Simba SC
  • 23-11-2022 Mbeya City - Simba SC
  • 27-11-2022 Polisi Tanzania FC - Simba SC
  • 03-12-2022 Coastal Union - Simba SC
  • 18-12-2022 Geita Gold FC - Simba SC
  • 21-12-2022 Kagera Sugar - Simba SC
  • 26-12-2022 Kinondoni MC - Simba SC

Ukiangalia ratiba hiyo utagundua ndani ya siku 37 mfululizo, Simba SC atakuwa mikoani akitafuta alama 21! Hili litakua ajabu la nane la Dunia.

Bodi ya Ligi muda mnao, na hili nalo mkalitazame.
 
Fafanua,
Hapo average ni mechi kila baada ya siku 5
Ni kweli Mkuu.. Kumbuka Simba akimaliza kucheza na Mbeya City jiini Mbeya itabidi aanze safari ya kuelekea kuwatafuta Prisons. Akimalizana nao anaelekea Tanga, kuwatafuta Costal. Hiii si nzuri kwa afya ya wachezaji.
 
Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?

Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Si mtakuwa mnamixia na za home so tulia tu muzeye.
 
Ni sawa, tumecheza mechi nyingi sana nyumbani now ni muda wa kuzipambania points ugenini.
Ni kweli Mkuu. Bodi ya ligi walitakiwa walione hili mapema. Athari ya hili inaweza tokea katika group stages za CAFCL.
 
Ni kweli Mkuu. Bodi ya ligi walitakiwa walione hili mapema. Athari ya hili inaweza tokea katika group stages za CAFCL.
Yes, athari zake ni kubwa sana...itaahiri uwezo wa wachezaji hasa kwenye mechi ngumu za kiushindani kama CCL, huo ndo udhaifu wa bodi yetu ya Ligi. Ushauri wangu kuna baadhi ya mechi zinapaswa kusogezwa mbele kutoa nafasi kwa wachezaji ku recover.
 
Si mtakuwa mnamixia na za home so tulia tu muzeye.
Mkuu najua unasema tutakua tunamixia na za home kwa kua umeona kuna Ruvu na KMC. Hizi timu ndogo zina njaa sana na gate collections, hazikawii kupeleka mechi Arusha.
 
Yes, athari zake ni kubwa sana...itaahiri uwezo wa wachezaji hasa kwenye mechi ngumu za kiushindani kama CCL, huo ndo udhaifu wa bodi yetu ya Ligi. Ushauri wangu kuna baadhi ya mechi zinapaswa kusogezwa mbele kutoa nafasi kwa wachezaji ku recover.
Ratiba ya CAFCL ikitoka ratiba ya NBC PL lazima ifumuliwe upya. Ukiangalia ratiba ya sasa ya NBC PL kila baada ya siku 4 au 5 mechi.
 
Ni sahihi Mkuu. Lakini, inakuaje unapanga ratiba timu imalize mechi 4 ugenini za mzunguko wa kwaza na ianze mechi 3 za mzunguko wa pili ugenini? Hiii ni akili kweli?!
Kadri ulivyofurahia za ndani kufuatana vivyo hivyo tufurahie za nje
 
Screenshot_20221117-134449_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom