ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Baada ya jana, Simba SC kuchukua alama 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo;
Ukiangalia ratiba hiyo utagundua ndani ya siku 37 mfululizo, Simba SC atakuwa mikoani akitafuta alama 21! Hili litakua ajabu la nane la Dunia.
Bodi ya Ligi muda mnao, na hili nalo mkalitazame.
- 19-11-2022 Ruvu Shooting - Simba SC
- 23-11-2022 Mbeya City - Simba SC
- 27-11-2022 Polisi Tanzania FC - Simba SC
- 03-12-2022 Coastal Union - Simba SC
- 18-12-2022 Geita Gold FC - Simba SC
- 21-12-2022 Kagera Sugar - Simba SC
- 26-12-2022 Kinondoni MC - Simba SC
Ukiangalia ratiba hiyo utagundua ndani ya siku 37 mfululizo, Simba SC atakuwa mikoani akitafuta alama 21! Hili litakua ajabu la nane la Dunia.
Bodi ya Ligi muda mnao, na hili nalo mkalitazame.