Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

Yanga hawana hata akili ya kuvuka barabara
 
Tifuatifua + Bodi ya ligi + mtoto wao Kolowizard fc= GENGE LA WAHUNI
 
Mamlaka zitumie hii fursa kuionyesha Yanga na godfathers wao serikalini kuwa wako imara.
Simba wametengeneza njia Bodi na TFF waifuate. Kuna namna Yanga wanadharau mamlaka. Fikiria nani aliwafungulia Yanga geti wakaingia uwanjani hiyo tarehe 8.

Kwa akili ndogo tu utapewaje points? Sio mechi kuchezwa tu hata mamlaka za kuchezesha hiyo mechi hazikuwepo? Angalia kilichotokea Misri kutokuja kwa Al Ahl, yale ndiyo mazingira ya kupewa points.
 
Wanamsikiliza Haji Manara anawajaza upepo yakija kuwakuta ya kuwakuta yeye anaenda kuchekea chooni
 
1) Mabaunsa wana nguvu kuliko polisi? Mabaunsa wanaweza kuwazidi vyombo vya usalama?
2) lini uliwahi kuona Simba inapofikia mechi ya derby dhidi ya Yanga wakija uwanjani kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja huo huo wa mechi?
3) Kama bodi ya ligi ilikiri wazi kuwa Simba walifanya kosa la kimawasiliano kwa kushindwa kuwajulisha maafisa wa mchezo, meneja wa uwanja na mwenyeji wa mechi kuhusu kuutumia uwanja ili waweke mazingira mazuri kutekeleza haki yao kikanuni je hapo hamuoni kama wamejiendea tu kienyeji na hao mabaunsa walikuwa wapo tu kienyeji kwasababu kazi ya ulinzi wapo wahusika wanaolinda uwanja.
 
Kuhusu meneja wa uwanja kukataa kuwafungulia geti Simba ambao wanalindwa na kanuni lakini akawafungulia Yanga ambao mechi imeahirishwa nadhani hapo ndipo linakuja suala la rushwa ambalo limejitokeza kwenye uchunguzi kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Usalama wa mechi.
 
Kichekesho unaenda kumdai point 3 mtu ambae alikuambia hakuna mechi, imeahirishwa. Yanga wanahisi kuwa wakienda CAS wanapewa point 3 ila ukweli wanajisumbua.
Bodi ya ligi imeahirisha mechi kwasababu za kiusalama na mmb mengine. Na bodi ndo wenye mamlaka. Hapa bodi watawambia CAS mechi ilihirishwa kwa sababu za kiusalama na kila timu ilipewa taarifa.
 
Na huu ndio ukweli halafu kuna watu wanajilazimisha kuamini kuwa Yanga watapewa points 3 za dezo
 
Haikutosha wakapeleka basi lao Bunju kudai mechi

Hiki kitu kimenifanya niudharau sana mpira wa Tz. Tumepuuzwa sana humu kwamba tunaoshabikia Simba na Yanga tuna shida vichwani, kwa mambo haya naanza kuuona ukweli kwa jinsi viongozi wa hizi timu wanavyotufanya mashabiki hamnazo
 
Yanga wenyewe wanajua ukweli kuhusu ule mchezo kuahirishwa ni basi tu kutusumbua. Yaani mlitaka limpira lenu lituharibie hotuba nzuri ya siku ya wanawake? Kamwe asilani tusingekubali.
 
Tusubiri tarehe watacheza mabus....h...a ya babu zao Kasongo....na Karia na wa...p...u....u...z wenzake wote Bodi League
 
Nyie mnaotaka point 3 ndo mna uzuzu...yani ufike uwanjani ww na genge lako ulazimishe upewe point 3...hata akili ya kuvukia tuu barabra haiko hivyo..mpira umehairishwa toka saa8...
Wewe utaweza kunipikia Milo mitatu Nile na kuridhika kweli?
 
Kuna vitu wabongo tunashindwa ku reason kwasababu ya usimba na uyanga, Simba waligomea mechi lakini kitendo cha bodi ya ligi kukaa kikao cha kumjadili mtu aliyegoma ni kuonesha udhaifu mkubwa sana katika usimamizi na utekelezaji wa kanuni

Angalia kwenye ligi ya Misri, Al Ahly waligoma na walikuwa na sababu ya msingi ya kugoma kwao lakini hukuona upuuzi wa watu kuangaika kuitana na kukaa vikao vya ghafla. Huu udhaifu wa bodi ya ligi mashabiki wa Simba wanashindwa kuliona kwavile wamefanya kitu kwa kupendelea upande wao. Yanga wamefanya kosa la kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ilipaswa kuadhibiwa kulingana na kanuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…