The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Hamna sababu ya kutopeleka Team uwanjani nyie.Mkuu wewe tulia huu mchezo auhitaji hasira ndio kwanza kumekucha,,yanga walisubilia kwa hamu wajibiwe na bodi ya ligi maana wasingeweza kusonga mbele kabla bodi aijajibu barua yao na kutoa sababu za kikanuni, sasa kama ni kweli wamejibu hivyo inavyoelezwa hapo kimaandishi na sababu zenyewe zikiwa ndio hizo Kuna jambo zito litakwenda kutokea uko mbeleni wewe tulia na yanga awawezi kupeleka timu uwanjani kwa stahili iyo!