Ndiyo lakini sababu ya msingi walikuwa nayo na kanuni ya 31 inawapa fursa hiyo.Jemedari ni nani huko TFF/Bodi ya ligi / Simba?
Taarifa ya Simba kususia mechi ilianzia kwa huyu nyang'au?
Ndiyo lakini sababu ya msingi walikuwa nayo na kanuni ya 31 inawapa fursa hiyo.Jemedari ni nani huko TFF/Bodi ya ligi / Simba?
Taarifa ya Simba kususia mechi ilianzia kwa huyu nyang'au?
TFF na bodi ya ligi plus kamati zake, rasmi sasa ni Simba B😀Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu uwanjani ambako kwa mujibu wa kanuni 47:18 adhabu yake wanaweza kushushwa daraja.
Na pia wamejibiwa kuwa hakuna sehemu kwenye kanuni inayoitaka timu mgeni kuwasiliana na wadau ili kutimiza takwa la kikanuni la wao kufanya mazoezi.
Ngoja tuone hili tishio la kutunishiana misuli na mamlaka za soka litaishia wapi.
Hata hiyo mechi ikichezwa kesho, bado mtafungwa tu. Hata msijipe moyo.Naona mmeanza kutia akili sasa, kumbe mlikuwa mnatikisa kiberiti na mmegundua kimejaa mnaanza unyonge
Leteni timu tucheze hamuwezi kuwa juu ya mamlaka nyie nani bwana?
Unaongea ujlnga, nani anabebwa kama sio yanga? Timu inapewa sapoti ya timu zingine 7 hii ligi ya wapiBodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Mtu yeyote anayesababisha vurugu atapelekea mechi husika kuahirishwa kulinda usalama wa wachezaji bila kujali ni baunsa wa yanga au mvuta bangi tuu kama mchomeHakukuwa na dharura msilazimishe makolo.
Je, wangezuiwa njiani na mabaunsa wangegomea mechi?
Mchome ni Yanga lakini anavaa jezi za Simba, angeizuia Yanga mngesema huyo ni baunsa wa Simba?
Baunsa ni mtu tu huwezi kuwa na uhakika katumwa na nani, maana kama mnajua wametumwa si mngeitaa Polisi? Chap tu kutoka Chang'ombe lakini mnajua kuwa Manager aliwakatalia.
We kilaza hata haujui maana ya dharura. Kitendo cha simba kutoa taarifa ya kutoingiza timu saa 16 kabla ya mchezo hii ni dharura kwa Tff maana ni jambo ambalo ni la ghafla na halikutarajiwa. Na simba walifanya hivyo kwa uhakika kwa kuwa walitendewa kinyumea na kanuni ya 17(45).Hakukuwa na dharura msilazimishe makolo.
Je, wangezuiwa njiani na mabaunsa wangegomea mechi?
Mchome ni Yanga lakini anavaa jezi za Simba, angeizuia Yanga mngesema huyo ni baunsa wa Simba?
Baunsa ni mtu tu huwezi kuwa na uhakika katumwa na nani, maana kama mnajua wametumwa si mngeitaa Polisi? Chap tu kutoka Chang'ombe lakini mnajua kuwa Manager aliwakatalia.
Hao ndio chura mkuu 😂Halafu naambiwa pamoja na kuwa peke yao bado hawakupita geti dogo la uwanjani. Waliruka
Kwanini ulihairishwa?Nyie mnaotaka point 3 ndo mna uzuzu...yani ufike uwanjani ww na genge lako ulazimishe upewe point 3...hata akili ya kuvukia tuu barabra haiko hivyo..mpira umehairishwa toka saa8...
Unaleta mambo ya kufikirika! Hizo timu zinazoibeba Yanga ni zipi? Na kama utazitaja timu zilizofungwa, usiisahau kuitaja na timu ya simba iliyofungwa mara nne mfululizo, kiasi cha kusababisha kuogopa kucheza mchezo wa tarehe 8/3/2025!Unaongea ujlnga, nani anabebwa kama sio yanga? Timu inapewa sapoti ya timu zingine 7 hii ligi ya wapi
Una maanisha nini hapa na hii ni lugha gani?😀😃😄😁😆Kaje magutwi ya isho.
Ngoja futari ishuke kwanza tutakujibu Dada[emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo huyo uliyechukua habari kwake ndo nani huko Bodi ya Ligi?
Oke oke. 🤣🤣Ngoja futari ishuke kwanza tutakujibu Dada[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama haitoshi wanahamasishana kukusanya wanachama. Unajiuliza kwa ajili ya kufanya nini wakati watu wa kuact kwa niaba ya wanachama wapo?Hao ndio chura mkuu 😂
Sasa kumbe mnakataa kataa nini? Mnalilia za mezani za nini sasa? Njooni mcheze mechi acheni mikwara haitawasaidia kituHata hiyo mechi ikichezwa kesho, bado mtafungwa tu. Hata msijipe moyo.
Kwa sababu kanuni ya 17(45) ilikiukwa, na kanuni ya 31 inatoa mwanya wa timu kugomea kama kuna sababu ya kikanuni inayokubaliwa na tff au bodi.Kwanini ulihairishwa?
Nmemsumbua nani ambae alilala nikamwamshaUsisumbue watu,Soma neno kwa neno taarifa ya awali ya bodi, wameweka humo sababu ya msingi na kanuni iliyotumika kuahirisha mechi