Bodi ya Ligi yakataa ombi la Simba kutumia Chamazi.

Bodi ya Ligi yakataa ombi la Simba kutumia Chamazi.

Wanataka kuuzoea uwanja??, Kwani miaka yote hiyo wanapoutumiaga hawajauzoea tu?

Makolo wanataka kuzika mipaka yao uwanjani, uwanja uanze kuwa na nuksi kwa yanga [emoji38]
 
Kumbe kuna wakati Bodi ya Ligi mnakuwa na akili eeeh!!
 
Kipigo kipo pale pale hata tukicheza Avic town..
 
Yanga ndo wana jambo wamelipania kwa simba siyo bodi ya ligi. Ngoja siku mle mkono ndo mtajua mwenye jambo dhidi ya Simba ni nani.
Umeamka tayari maana naona unaota ndoto mbaya...

Kilichowakuta Tanga umeshasahau tayari?
 
Mkuu uwanja ukichagua hakuna kubadilisha ndio maana El Mereikh walishindwa kwenda marakesh Morocco. Kuwa mpole
Uwongo mkubwa, timu zinaruhusiwa mechi 3 za nyumbani, kuhamishia uwanja unaopenda ili mradi umekidhi vigezo. Tumeona Hilo Mara nyingi likifanyika, mfano KMC mechi za nyumbani wanapocheza na Yanga au Simba huhamishia Kirumba Mwanza.
 
Uwongo mkubwa, timu zinaruhusiwa mechi 3 za nyumbani, kuhamishia uwanja unaopenda ili mradi umekidhi vigezo. Tumeona Hilo Mara nyingi likifanyika, mfano KMC mechi za nyumbani wanapocheza na Yanga au Simba huhamishia Kirumba Mwanza.
Ni mechi 2 tu
 
Tujiandae kushuhudia urushwaji wa hovyo wa mechi hii na Azam tv
 
Labda itakuwa hujui taratibu zikoje za kimpira

"Una uwezo kwa mechi zisizozidi 2 za ligi kuu kubadilisha uwanja tofauti na ule uliouchagua kama wa nyumbani"
Sawa Mkuu, naweza kuwa mbumbumbu but since concern ya Simba ni kuuzoea kwa ajili ya CACCL so atauzoea two days before the game?
 
Bodi ya Ligi TPLB, imekataa maombi ya Simba SC ya kataka kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga.

Simba SC imeomba kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX kwa ajili ya wachezaji wao kuuzoea uwanja huo watakaoutumia kwenye mchezo wao wa marudiano ya CAF Champions League dhidi ya Power Dynamos.

Inaelezwa Bodi ya ligi TPLB imewataka Simba SC kuendelea kuutumia uwanja wa uhuru kwasababu ndio uwanja ambao wameuchagua kuutumia kama uwanja wao wa nyumbani baada ya Benjamin Mkapa kuwa kwenye Ukarabati.

Simba SC lengo lao ni kuwafanya wachezaji wao wauzoee uwanja wa AZAM COMPLEX ambao watautumia oktoba mosi dhidi ya Power Dynamos.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom