Tuja kweli
Member
- Feb 3, 2023
- 11
- 9
Simba sc walizuia maokoto ya bodi toka GSM hivyo lazima wapigwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umeingiliwa! Kwamba ukiuchagua hakuna kubadilisha? Viwanja vilifungiwa katikati ya msimu, timu haikubadilisha?Mkuu uwanja ukichagua hakuna kubadilisha ndio maana El Mereikh walishindwa kwenda marakesh Morocco. Kuwa mpole
Hivi Kuna ukweli kuhusu hili? Maana naona umeandika tu kwahisia, yaani umeandika bila chanzo chochote unalengo gani hasa? Au ndo unataka kuleta chuki?... Hebu leta vyanzo vya huu uvumi wako na sio hisia zako.Bodi ya Ligi TPLB, imekataa maombi ya Simba SC ya kataka kutumia uwanja wa AZAM COMPLEX, kwnye mchezo wao wa kesho dhidi ya Costal Union ya Tanga.
Simba SC imeomba kutumia uwanja wa AZAM COMPLEX kwa ajili ya wachezaji wao kuuzoea uwanja huo watakaoutumia kwenye mchezo wao wa marudiano ya CAF CL dhidi ya Power Dynamos.
Inaelezwa Bodi ya ligi TPLB imewataka Simba SC kuendelea kuutumia uwanja wa uhuru kwasababu ndio uwanja ambao wameuchagua kuutumia kama uwanja wao wa nyumbani baada ya Benjamin Mkapa kuwa kwenye Ukarabati.
Simba SC lengo lao ni kuwafanya wachezaji wao wauzoee uwanja wa AZAM COMPLEX ambao watautumia oktoba mosi dhidi ya Power Dynamos.
Sent using Jamii Forums mobile app