Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 😀 😀[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] punguza jaziba kolo
Yanga ndo wana jambo wamelipania kwa simba siyo bodi ya ligi. Ngoja siku mle mkono ndo mtajua mwenye jambo dhidi ya Simba ni nani.Kuna jambo bodi ya ligi wamelipania kwa Simba msimu huu sasa ni bora waliweke wazi tu
Umeanza juzi kuangalia mpira...poleeeWalichagua wenyewe kuwa uwanja wao leo wanabadilikabadilika kama vinyonga
Umeamka tayari maana naona unaota ndoto mbaya...Yanga ndo wana jambo wamelipania kwa simba siyo bodi ya ligi. Ngoja siku mle mkono ndo mtajua mwenye jambo dhidi ya Simba ni nani.
Kabisa.Wanataka kuja kupandikiza minyau hapo ya kiuchawi Ili kuwakomoa Yanga...
Wabaki huko huko
Uwongo mkubwa, timu zinaruhusiwa mechi 3 za nyumbani, kuhamishia uwanja unaopenda ili mradi umekidhi vigezo. Tumeona Hilo Mara nyingi likifanyika, mfano KMC mechi za nyumbani wanapocheza na Yanga au Simba huhamishia Kirumba Mwanza.Mkuu uwanja ukichagua hakuna kubadilisha ndio maana El Mereikh walishindwa kwenda marakesh Morocco. Kuwa mpole
Ni mechi 2 tuUwongo mkubwa, timu zinaruhusiwa mechi 3 za nyumbani, kuhamishia uwanja unaopenda ili mradi umekidhi vigezo. Tumeona Hilo Mara nyingi likifanyika, mfano KMC mechi za nyumbani wanapocheza na Yanga au Simba huhamishia Kirumba Mwanza.
Sawa Mkuu, naweza kuwa mbumbumbu but since concern ya Simba ni kuuzoea kwa ajili ya CACCL so atauzoea two days before the game?Labda itakuwa hujui taratibu zikoje za kimpira
"Una uwezo kwa mechi zisizozidi 2 za ligi kuu kubadilisha uwanja tofauti na ule uliouchagua kama wa nyumbani"
Unajua Simba anacheza mechi ngapi kabla ya mechi hiyo Caf?Sawa Mkuu, naweza kuwa mbumbumbu but since concern ya Simba ni kuuzoea kwa ajili ya CACCL so atauzoea two days before the game?
Kuna jambo bodi ya ligi wamelipania kwa Simba msimu huu sasa ni bora waliweke wazi tu
Mpinzani unaweza kumfikiria endapo unabadili mkoa, kubadili uwanja kwenyemkoa huohuo sioni shida sanaUnabadilisha uwanja kwa sababu zipi! tena siku Moja kabla ya mechi na mpinzani wako humfikirii ..huo ni umbumbumbu
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sheria zinakataza kubadili?Simba wamechagua wenyewe uhuru.
Hawakuchaguliwa na bodi ya ligi
Kama walivyoamua leo kubadiliSimba wamechagua wenyewe uhuru.
Hawakuchaguliwa na bodi ya ligi
Bodi ya Ligi TPLB, imekataa maombi ya Simba SC ya kataka kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga.
Simba SC imeomba kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX kwa ajili ya wachezaji wao kuuzoea uwanja huo watakaoutumia kwenye mchezo wao wa marudiano ya CAF Champions League dhidi ya Power Dynamos.
Inaelezwa Bodi ya ligi TPLB imewataka Simba SC kuendelea kuutumia uwanja wa uhuru kwasababu ndio uwanja ambao wameuchagua kuutumia kama uwanja wao wa nyumbani baada ya Benjamin Mkapa kuwa kwenye Ukarabati.
Simba SC lengo lao ni kuwafanya wachezaji wao wauzoee uwanja wa AZAM COMPLEX ambao watautumia oktoba mosi dhidi ya Power Dynamos.
Sent using Jamii Forums mobile app