Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kumbe una mdomo mchafu eee mkitukanwa hapa unakuja kama mzee wa busara kulaani. So barbra ndo kimada? Una proof yoyote kwa unayoyasema? Mbona karia alikaa na Manara na Injia wenu baad ya lile tukio la Arusha wakapiga picha so na wao ni vimada? Na nyie ni mashirikina yaliyoota mizizi how come mshindwe kupita milango ya kawaida ndo maana nasema Simba siku hz haina habari na nyie maana mko radhi hata mtembee uchi kwa waganga ili muifunge.Tulia wewe! Mbona timu yako ndiyo inaendeshwa kama nyumba ya mtu na kimada wake lakini hatusemi!
Akikohoa tu kimada wa Mudi, nyinyi wote mnaufyata mkia.
Halafu umesahau ile adhabu mliyopewa na CAF ya kulipa dola elfu 10 za Kimarekani baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini!!