Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

Tulia wewe! Mbona timu yako ndiyo inaendeshwa kama nyumba ya mtu na kimada wake lakini hatusemi!
Akikohoa tu kimada wa Mudi, nyinyi wote mnaufyata mkia.

Halafu umesahau ile adhabu mliyopewa na CAF ya kulipa dola elfu 10 za Kimarekani baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini!!
Kumbe una mdomo mchafu eee mkitukanwa hapa unakuja kama mzee wa busara kulaani. So barbra ndo kimada? Una proof yoyote kwa unayoyasema? Mbona karia alikaa na Manara na Injia wenu baad ya lile tukio la Arusha wakapiga picha so na wao ni vimada? Na nyie ni mashirikina yaliyoota mizizi how come mshindwe kupita milango ya kawaida ndo maana nasema Simba siku hz haina habari na nyie maana mko radhi hata mtembee uchi kwa waganga ili muifunge.
 
Haya malalamiko huwa baadhi ya wenzako wanayatoa humu! Hivyo huna sababu ya kupaniki, na kuniangushia jumba bovu.
 
Wakati yanga wanafanya sub nne refa alirihusuje ikatokea sababu refa ndo anayeruhusu mchezaj kuingia
Refa hausiki, Refa ni muamuzi wa ndani ya uwanja sio nje ya uwanja.

Hata ikitokea mchezaji ambaye ana kadi tatu za njano kaingia uwanjani illegal, Refa hawezi kumtoa na hata ikigundulika baadae basi watao wajibika ni benchi la ufundi la timu husika
 
Back
Top Bottom