Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

Yanga inaendeshwa kihuni sana hata fainal ya FA arusha waliwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union na kuwapiga halafu wakipewa adhabu wanalalamika siku ya mechi ya simba walipita mlango usio rasmi wakaacha basi lao wakaja na coaster kwa mafungu mafungu kama abiria wa buza.
 
Mechi ya ngao ya jamii Yanga walistahili adhabu pia kupitia mlango mwingine uwanjani wakati wa kuingia ,vile vile foul ya Inonga ilistahili adhabu
 
Inonga yupi? Thubutu.
 
Bodi ya Ligi walijuaje kuwa hao waliorusha chupa ni mashabiki wa Yanga?
 
Waliwahi kuishupalia Simba kwa kuwasha moto uwanjani. Kumbe Timu zote za Bongo zinaamini nguvu ya Miziziology na vimiminika vyeusi na mbegumbegu.
 
Wazee wa tunguli
giphy.gif
 
Yanga inaendeshwa kihuni sana hata fainal ya FA arusha waliwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union na kuwapiga halafu wakipewa adhabu wanalalamika siku ya mechi ya simba walipita mlango usio rasmi wakaacha basi lao wakaja na coaster kwa mafungu mafungu kama abiria wa buza.
Haikuwa mechi ya kwanza Gongowazi kupita mlango usiokuwa rasmi, karibia mechi nyingi za Derby wanafanya hivyo.

Hii ni kuonyesha kwamba kama ni adhabu ya faini kwao si tatizo..! Labda kuwe na adhabu nyingine ndo watakoma.
 
Huyu mwamuzi anayeitwa Ahmada Simba kwa nini TFF inaendelea kumlea?

Hivi hakuna waamuzi wengine makini mpaka kuendelea kumpa majukumu ya kuchezesha mpira, na mwisho wa siku kuzinufaisha baadhi ya timu kupitia maamuzi yake mabovu na ya kutatanisha!

Nasema hivi kwa sababu siyo mara ya kwanza kufungiwa kwa makosa yale yale! Kiufupi huyu jamaa hana sifa ya kuchezesha mpira wa miguu, tena kwa ngazi ya Ligi Kuu.
 
Yanga inaendeshwa kihuni sana hata fainal ya FA arusha waliwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union na kuwapiga halafu wakipewa adhabu wanalalamika siku ya mechi ya simba walipita mlango usio rasmi wakaacha basi lao wakaja na coaster kwa mafungu mafungu kama abiria wa buza.
Tulia wewe! Mbona timu yako ndiyo inaendeshwa kama nyumba ya mtu na kimada wake lakini hatusemi!
Akikohoa tu kimada wa Mudi, nyinyi wote mnaufyata mkia.

Halafu umesahau ile adhabu mliyopewa na CAF ya kulipa dola elfu 10 za Kimarekani baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini!!
 
TFF oneni aibu.

Hii mbona mmenyamazia?

Yanga wanafanya hayo yote kukimbia uchawi wa Makolo..
Hii timu inayoitwa makolo wamezidi sana kuwa wachawi.. Hadi caf na FIFA wanajua.. Sasa unashindwaje kujiami ukiwa unacheza na Machawi kama Makolo fc..
Makolo mukipunguza uchawi kidgo nasi tutapita kwenye hill mnlolitaka nyie.. Ela kutimbwa kupo palepale
Haikuwa mechi ya kwanza Gongowazi kupita mlango usiokuwa rasmi, karibia mechi nyingi za Derby wanafanya hivyo.

Hii ni kuonyesha kwamba kama ni adhabu ya faini kwao si tatizo..! Labda kuwe na adhabu nyingine ndo watakoma.
 
Tulia wewe! Mbona timu yako ndiyo inaendeshwa kama nyumba ya mtu na kimada wake lakini hatusemi!
Akikohoa tu kimada wa Mudi, nyinyi wote mnaufyata mkia.

Halafu umesahau ile adhabu mliyopewa na CAF ya kulipa dola elfu 10 za Kimarekani baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini!!
We ulisikia simba wakilalamika walipopewa adhabu ila nyinyi kila kitu mnalalamika yule nguruwe pori anawaharibu sana wana yanga.
 
Wale waliocheza karate ( rafu mbaya) ndo imeisha hiyo?
Kidau na Karia kumbukeni hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho!!!
Unawazungumzia hawa?

Tulia wewe! Mbona timu yako ndiyo inaendeshwa kama nyumba ya mtu na kimada wake lakini hatusemi!
Akikohoa tu kimada wa Mudi, nyinyi wote mnaufyata mkia.

Halafu umesahau ile adhabu mliyopewa na CAF ya kulipa dola elfu 10 za Kimarekani baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini!!
Ilikuwa ni tambiko hatarishi mkuu nikuweke sawa hapo
 
Tulia wewe! Mbona timu yako ndiyo inaendeshwa kama nyumba ya mtu na kimada wake lakini hatusemi!
Akikohoa tu kimada wa Mudi, nyinyi wote mnaufyata mkia.

Halafu umesahau ile adhabu mliyopewa na CAF ya kulipa dola elfu 10 za Kimarekani baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna jipyaaa, ni kilio tyuuh poleeeeeh
 
Yanga wanafanya hayo yote kukimbia uchawi wa Makolo..
Hii timu inayoitwa makolo wamezidi sana kuwa wachawi.. Hadi caf na FIFA wanajua.. Sasa unashindwaje kujiami ukiwa unacheza na Machawi kama Makolo fc..
Makolo mukipunguza uchawi kidgo nasi tutapita kwenye hill mnlolitaka nyie.. Ela kutimbwa kupo palepale
Utopolo hawana uwezo wa kuifunga simba bila mzee Mpili kuwaongoza.
 
Back
Top Bottom