Hujuma wanafanyiwa itakuwaMaziwa ya mgando ya Tanga Fresh na Asas yanauzwa madukani yakiwa katika vifungashio vya plastic.
Iweje ndoo za plastic ziwe haramu, lakini vifungashio viwe halali?
Katika hatua nyingine, Msemaji wa Wizara ya Mifugo ametangaza kwamba Waziri Luhaga Mpina ametengua uteuzi wa Msajili wa Bodi ya Maziwa aliyekuwa anaongoza zoezi la kumwagia mafuta ya taa kwenye maziwa kuanzia jana tarehe 26 Juni 2020.
CCM kumejaa wauajiITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili yasifae kutumika.
Maziwa hayo huwa yanauzwa yakiwa katika ndoo safi za plastic zenye mifuniko.
Najiuliza: Matendo ya Watendaji wa Bodi ya Maziwa ya kutumia pesa za Umma kwa kununua mafuta ya taa na kwenda kuyamwaga juu ya maziwa na hivyo kuwahujumu Wajasiriamali, tena akina mama, hakina ujinai ndani yake?
chunguza mtoto wa kiume usipende mtelezoTaarifa yako Kama imekaa kishabiki hivi? Kwanini yamwagiwe mafuta ya taa?
Kanywe na wewe konyagiHata kichaa huwa anasema lakini asemayo ni pumba.
Hata Mbowe alisema watu wasiojulikana kumbe ni Konyagi.
Kwahiyo kusema sema wakati mwingine bila kuwaza ni sawa na ukichaa
Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa ngombe katika bara la Africa baada ya Ethiopia bali maziwa mengi yanayo sindikiwa hayatokani na ngombe wa kitanzania isipokuwa yale ya ASAS na Tanga Fresh ukiacha yale ya wasindikaji wadogo wadogo.ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili yasifae kutumika.
Maziwa hayo huwa yanauzwa yakiwa katika ndoo safi za plastic zenye mifuniko.
Najiuliza: Matendo ya Watendaji wa Bodi ya Maziwa ya kutumia pesa za Umma kwa kununua mafuta ya taa na kwenda kuyamwaga juu ya maziwa na hivyo kuwahujumu Wajasiriamali, tena akina mama, hakina ujinai ndani yake?
shida tunafanya kazi zetu kama"roboti'Huu ujinga sijawahi ona
Ukatili uliije[emoji28]ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili yasifae kutumika.
Maziwa hayo huwa yanauzwa yakiwa katika ndoo safi za plastic zenye mifuniko.
Najiuliza: Matendo ya Watendaji wa Bodi ya Maziwa ya kutumia pesa za Umma kwa kununua mafuta ya taa na kwenda kuyamwaga juu ya maziwa na hivyo kuwahujumu Wajasiriamali, tena akina mama, hakina ujinai ndani yake?
Hii nchi ina mambo Mengi sana ya kipumbavu...huyu mtendaji kwa sababu yeye anapokea mshahara na marupurupu anachukulia mambo kirahisi sana..ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili yasifae kutumika.
Maziwa hayo huwa yanauzwa yakiwa katika ndoo safi za plastic zenye mifuniko.
Najiuliza: Matendo ya Watendaji wa Bodi ya Maziwa ya kutumia pesa za Umma kwa kununua mafuta ya taa na kwenda kuyamwaga juu ya maziwa na hivyo kuwahujumu Wajasiriamali, tena akina mama, hakina ujinai ndani yake?
Kulinda afya ya mnywaji. Yale maziwa ya Ubungo huwa yamechakachuliwaKwa nini wanayamwagia ?
Huyu shetani hakupaswa kutenguliwa tu alipaswa hata kufungwaMaziwa ya mgando ya Tanga Fresh na Asas yanauzwa madukani yakiwa katika vifungashio vya plastic.
Iweje ndoo za plastic ziwe haramu, lakini vifungashio viwe halali?
Katika hatua nyingine, Msemaji wa Wizara ya Mifugo ametangaza kwamba Waziri Luhaga Mpina ametengua uteuzi wa Msajili wa Bodi ya Maziwa aliyekuwa anaongoza zoezi la kumwagia mafuta ya taa kwenye maziwa kuanzia jana tarehe 26 Juni 2020.
Ndoo za plastic hazitakiwi beba maziwa kutoka point A kwenda B sababu bado hayajachakatwa. Pia uoshaji wa plastic sio kama Aluminium cans.Hujuma wanafanyiwa itakuwa
Ova
wakimwagia mafuta ya Taa ndo yanarudi kwenye Ubora?Kulinda afya ya mnywaji. Yale maziwa ya Ubungo huwa yamechakachuliwa
TFDA walishafariki, siku hizi ni TBS anafanya hiyo kazi. Shida kubwa ya Tanzania ni unafiki na kujipendekeza kuonekana wapo kazini, au kuna mtu ana kiosk chake hawataki hao wa mama hapo.Watoe taarifa inayoeleweka na ufanunuzi yakinifu wananchi waweze kuwaelewa.
Kwamba maziwa yakiuziwa kwrnye ndoo za plastic yana madhara gani kwa binadamu? Siyo kutoa tu marufuku, watanzania wote waelewe!
Na kama kuna madhara mbona vifungashio vya hayo maziwa ni plastic na vimejaa kwenye Supermarkets na mafuka mengi tu ya rejareja? Je, TFDA wanalijua hilo na wanapita kwenye hzo supermarkets?
Kama kuna madhara basi Watanzania wengi sana watakuwa wamedhurika!!
Uwe wasoma kuliko kukurupuka.wakimwagia mafuta ya Taa ndo yanarudi kwenye Ubora?