bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
kwani alikutuma mtu uchukue huo mkopo? Ungeuacha ukaendelea na maisha yako ukakikosa hicho kikaratasi.Kufanikiwa kununua karatasi kwa 12m?. Kama cheti nikufanikiwa basi waje wachukue cheti chao wauze hata 100m ziwe zao.
Utapatikana tuNipo hapa. Na sidhani kama mtanipata
Ulipokuwa unaomba mkopo ulikuwa mpole sanaKufanikiwa kununua karatasi kwa 12m?. Kama cheti nikufanikiwa basi waje wachukue cheti chao wauze hata 100m ziwe zao.
Nimetumia sehemu ya Kodi yangu.... Na bado nawadai!.Ulipokuwa unaomba mkopo ulikuwa mpole sana
kama hakuna dau iliyowekwa hakuna wa kufanya hiyo kaziBila kulipa wengine hawata pata mikopo
View attachment 3031540
Muwe na siku njema ,Kuwa hero wa Madogo .
Hivi unaweza kuacha kuchukua hela ambazo unazichamgia upatikanaji wake?, hizo pesa ni zangu pia. Nimesema hivi silipi ssa njoo uwape taarifa zangu nipo njiro block no 89.kwani alikutuma mtu uchukue huo mkopo? Ungeuacha ukaendelea na maisha yako ukakikosa hicho kikaratasi.
kwenye ile fomu ya mkopo hatukuwa na kipengele ya kwamba ukimaliza chuo nitakuajiri, sharti ni kwamba baada ya kumaliza tu chuo ndani ya miezi 24 unaanza kufanya mrejeshoMm nawajua sema ajira awajapata .tengenezeni sele wapate ajira mkusanye ela zenu...yani watu wadaiwe kila kona.
Ole wako unifichue.....Jina 1 sh ngapi? Vya bure watukome
Nishatuma jina lakoππSiwezi ukuda USIO na Faida
NishakutajaNa tulivyo na wivu na chuki watatajana tu
Haiwezekani. Nilibadili jina na sipo kwenye system ya ajira. Mtanipata vipi?Utapatikana tu
Serikali ina mkono mpana sanaHaiwezekani. Nilibadili jina na sipo kwenye system ya ajira. Mtanipata vipi?
Usitumainie Uzuri wako ππππHaiwezekani. Nilibadili jina na sipo kwenye system ya ajira. Mtanipata vipi?
kwahiyo huko chuo ulienda kucheza na kushangaa lecture roomKufanikiwa kununua karatasi kwa 12m?. Kama cheti nikufanikiwa basi waje wachukue cheti chao wauze hata 100m ziwe zao.
SijakuelewaUsitumainie Uzuri wako ππππ
Hawana loloteSerikali ina mkono mpana sana