ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Mkuu nisanue kidogo hapo unasemaje..?ivi wakuu, kwa wale walopitia diploma wanaweza ku submit progressive report kwenye kipengele cha matokeo? mana matokeo kwa sasa bado, je! wanaweza kuweka matokeo ya semista ya kwanza? halafu ikitoka batch ya pili warekebishe? mana hapo transcript itakuwa ishatoka.
hapa wa2 wa dip si bado hawajapata matokeo? sasa kuna jamaa kanambia unaweza ukatmia matokeo ya semista ilopita ili uspishane na dirisha, dhen si kutakuwa na siku za marekebisho? hapo sasa mpaka huo muda transcript ztakuwa tayar zmeshatoka .una edit kidogo tu mambo yanakua sawia.....nandoman nkaweka na humu ili nione na wadau wanalisemeaje swala kama hili.Mkuu nisanue kidogo hapo unasemaje..?
Don't worry mda lazima uongezweShombe la Kisomali ...ni sahihi mkuu, huku kwetu wanatngenezaga matkeo ya semista...hofu hapa ni kuchelewa au wasipoongeza muda inakuwa ni lazma kusubiria mwaka mwengine.
basi freshi mkuu, hakuna noma.Don't worry mda lazima uongezwe
Yaaah, bado mda ukiwadia tutatafutana tushare ideabasi freshi mkuu, hakuna noma.
pamoja mkuuYaaah, bado mda ukiwadia tutatafutana tushare idea
8000Hivi kwa dar kutuma form ya bodi ya mkopo kwa EMS bei gani.
sawa mkuu8000
UlizaJaman nna swali!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uctume alafu tuone kitatokea nn[emoji19][emoji19][emoji19]