Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

ivi wakuu, kwa wale walopitia diploma wanaweza ku submit progressive report kwenye kipengele cha matokeo? mana matokeo kwa sasa bado, je! wanaweza kuweka matokeo ya semista ya kwanza? halafu ikitoka batch ya pili warekebishe? mana hapo transcript itakuwa ishatoka.
 
Mkuu nisanue kidogo hapo unasemaje..?
 
Mkuu nisanue kidogo hapo unasemaje..?
hapa wa2 wa dip si bado hawajapata matokeo? sasa kuna jamaa kanambia unaweza ukatmia matokeo ya semista ilopita ili uspishane na dirisha, dhen si kutakuwa na siku za marekebisho? hapo sasa mpaka huo muda transcript ztakuwa tayar zmeshatoka .una edit kidogo tu mambo yanakua sawia.....nandoman nkaweka na humu ili nione na wadau wanalisemeaje swala kama hili.
 
Mh, matokeo ya mwsho mwanzo unawekaje sasa.. Inamaana atakiomba chuo kikutengenezee partial transcript ya semester moja tu..?
Binafsi napaona pana ukakasi kidogo, me nasubiria Matokeo yangu na transcript maana Coordinator ashatuambia baada ya matokeo tu watatutengenezea trans mapema
ismail hassan
 
Shombe la Kisomali ...ni sahihi mkuu, huku kwetu wanatngenezaga matkeo ya semista...hofu hapa ni kuchelewa au wasipoongeza muda inakuwa ni lazma kusubiria mwaka mwengine.
 
Hivi kwa dar kutuma form ya bodi ya mkopo kwa EMS bei gani.
 
WAJUVI , NAOMBENI MNISAIDIE , HIVI NIKISHINDWA TUMA FORM YA MAOMBI LEO HII SAA 5 USIKU AMBAYO NI DEADLINE , JE ITANITOKEA NINI ?
 
Back
Top Bottom