Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Je kama unataka kusoma DIPLOMA unaweza pata mkopo?
 
Naomba kujua wakubwa kama baba yako mlemavu kwenye muongozo wa heslb wameandika wanaoruhusiwa kuthibitisha ni mganga mkuu wa mkoa na wilaya au chombo kingine chochote kilichohidhinishwa kuthibitisha ina maana hata mganga wa hospital ya kata wa serikal anaruhusiwa au mganga mwingine labda wa wilayan kwenye hospital za serikal
 
naomba kufahamu, je!, cheti cha kuzaliwa na cha form 4 vkitfautian herufi 1 ya jina inaweza kuwa sababu ya kukufanya usipewe mkopo?
mfano. cheti cha kuzaliwa. Ismail Hasani Rajabu
cha form 4. Ismaili Hasani Rajabu.
cheti cha kuzaliwa kwenye jina la mwanzo hakina ( i) mwisho
 
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 
naomba kufahamu, je!, cheti cha kuzaliwa na cha form 4 vkitfautian herufi 1 ya jina inaweza kuwa sababu ya kukufanya usipewe mkopo?
mfano. cheti cha kuzaliwa. Ismail Hasani Rajabu
cha form 4. Ismaili Hasani Rajabu.
cheti cha kuzaliwa kwenye jina la mwanzo hakina ( i) mwisho
Ndiyo maana kuna kiapo cha majina mahakamani...!
 
Nina mdogo wangu alimaliza diploma (clinical medicine) mwaka jana, anataka mwaka huu kuingia chuo, nataka kumuombea mkopo kupitia bodi ya mkopo tanzania, naomba anayejua utaratibu mmoja baada ya mwingine aniwekee step za kufata hapa ili nisikosee, naombeni sana msaada wenu waku na mungu awabariki sana.
 
anayejua juu ya application za load board anisaidie wakuu.
 
Pole. Naona wanazengo wanakupita tu kama hawakuoni huku wakifanya mizaha ya kukera.
Ni hivi kwa ufupi ila unaweza kunielewa.
Wewe usihangaike sana huyo mdogo wako anajua kama anasifa au hana sifa za mkopo. Yeye ndio mwenye uwezo wa kujaza fomu na kufuatilia kila hatua kwani yuko na wenzake huko chuoni. Wasiwasi wangu mdogo wako hana sifa pengine.
Kama unawezafika chuoni au bodi ya mikopo kwa ushauri zaidi.
 
Mzee ukiingia tu pale olas kila kitu siyo cha kukushinda ni kiingereza rahisi pia hata ukikosea una option ya kuweka sawa.

Mimi ni zamani kidogo sikumbuki steps na hata nilipomsaidia mtu kujaza nilikuta kuna vitu vimebadilika ambavyo hata siyo vigumu.

Just make sure una network (ya internet) yenye nguvu. Enzi naomba mkopo hakukua na 4g so niliapply mkopo kwenye Nokia ya kuslide saa nane usiku ndiyo nilikuta hakuna jam.
 
sifa anazo mkuu, kwani documente zake ninazo mimi, diploma ana GPA ya 4.4 ya clinical medicine
 
Mzee ukiingia tu pale olas kila kitu siyo cha kukushinda ni kiingereza rahisi pia hata ukikosea una option ya kuweka sawa.

Mimi ni zamani kidogo sikumbuki steps na hata nilipomsaidia mtu kujaza nilikuta kuna vitu vimebadilika ambavyo hata siyo vigumu.

Just make sure una network (ya internet) yenye nguvu. Enzi naomba mkopo hakukua na 4g so niliapply mkopo kwenye Nokia ya kuslide saa nane usiku ndiyo nilikuta hakuna jam.
asante mkuu, nilitaka kujua maana mara naskia kuna kutuma vyeti sijui wapi viwe satisfied pamoja na kulipia cheti cha kuzaliwa ili nacho kiwe satisfied, sijaelewa ndio maana nataka muongozo ulio kmili mkuu
 
Certified ni kwamba vyeti vya taaluma utawapelekea Nacte wavihakiki kama ni halali. Ukienda ofisi zao wanahakiki hapo hapo.

Hiki cha kuzaliwa unaenda nacho RITA na wao watakihakiki kama ni halali pia.

Hivyo vyeti vilivyohakikiwa ndiyo utakua unaupload zile sehemu zitakazohitaji vyeti.
 
Vya ta

taaluma unapeleka kwa wakili na sio nacte,,, coz hvyo vyeti watoaji ni nacte haohao ila kinachotakiwa ni mahakamani wathibitishe kama ni kweli chako mwenyewe.
 
kulipia uhakiki wa chetu cha kuzaliwa kwaajili ya kuomba mkopo tunafanyaje msaada tafadhali
 
Vya ta
taaluma unapeleka kwa wakili na sio nacte,,, coz hvyo vyeti watoaji ni nacte haohao ila kinachotakiwa ni mahakamani wathibitishe kama ni kweli chako mwenyewe.
kipindi mi naomba nilicertify kwa wakili. Juzi hapa niliyekua namsaidia akasema wameelekezwa wacertify kwa Nacte. Ila kama wamerudisha kwa wakiki sawa
 
Screenshot (40).png

Wakuu, aliyeelewa vizuri hiki kipengele naomba msaada wa kueleweshwa.
 
Back
Top Bottom