Yaah, hapi Master anamaliza kila kitu hata hyo reference number master wako was shule anajua, So atakujazia vizuri tu.
Kikubwa kwenye hyo form usikose muhuri was taasisi husika iliyokuzamini na hichi kiambatanisho kingine cha uthibitisho.
Alafu hapo kwenye reason ya ufadhiri muombe mwalimu akujazie hyo statement inayosema "Student from poor/marginalized family" itamake sense sana
Actually, mwaka wamefunga kazi kabisa yaani inabidi utumie akilini nyingi even money also ili uweze kuwalaghai kama wakivyofanya watu miaka ya nyuma.