Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Yaah, hapi Master anamaliza kila kitu hata hyo reference number master wako was shule anajua, So atakujazia vizuri tu.
Kikubwa kwenye hyo form usikose muhuri was taasisi husika iliyokuzamini na hichi kiambatanisho kingine cha uthibitisho.
Alafu hapo kwenye reason ya ufadhiri muombe mwalimu akujazie hyo statement inayosema "Student from poor/marginalized family" itamake sense sana
Actually, mwaka wamefunga kazi kabisa yaani inabidi utumie akilini nyingi even money also ili uweze kuwalaghai kama wakivyofanya watu miaka ya nyuma.
Kwel kabisa mkuu
 
Mkuu mm niko namalizia semester na vision yangu ni kuuunganisha bachelor mwaka huu, mpaka sasa nishacertify cheti RITA tayari.. Yaan transcription ikitoka tu naaply mkopo kama dirisha likiwa wazi. Kuhusu vyuo tunaweza kuwahi dirisha LA pili maana linafunguliwa October 6 - October 12
pamoja mkuu, shukran san.umenisaidia pakubwa mno
 
Habari za mida wakuu.
Nina changamoto katika kulogin kuuply for loan. Kila nikiweka namba ya shule(form 4 index number) naambiwa shule haipo; Je kuna aliokutana na tatizo hili na je ninaanzia wapi kulitatua?
Asanteni.
 
Wacheki Heslb hizi namba zao za WhatsApp 0736665533 Huwa awapokei simu ila ukituma sms WhatsApp mda wote wanakujibu
 
Mida ya bahat nasib, kama una nyota ya kisamvu wajumbe wanakukata, mliosoma private msidate, mkopo anapata yeyot
 
Hivi tasaf SPONSORSHIP LETTER nani mwenye dhamana kunipa hiyo barua
 
Me Nina swali vipii pale mtu unapoapply mkopo na ushaprint form alaf ndo ukaona kuna kasehemu amekosea plan B inakuwa Ni nn...msaada tafadhali
 
Me Nina swali vipii pale mtu unapoapply mkopo na ushaprint form alaf ndo ukaona kuna kasehemu amekosea plan B inakuwa Ni nn...msaada tafadhali
Kuna option ya Ku edit taharifa zako.Ingia kwenye account yako ya bodi ya mikopo edit ulipo kosea kisha print forms zako tena.
 
Me Nina swali vipii pale mtu unapoapply mkopo na ushaprint form alaf ndo ukaona kuna kasehemu amekosea plan B inakuwa Ni nn...msaada tafadhali

Aise ukisha print huwezi kufanya lolote tena .. subiri wakitoa majina ya waliokosea ndio labda utaweza kurekebisha
 
Aise ukisha print huwezi kufanya lolote tena .. subiri wakitoa majina ya waliokosea ndio labda utaweza kurekebisha
Mfumo ule wa nyuma kidogo ulikuwa unaweza ku edit taharifa zako na ku print upya form yako.Kwani mambo yamebadilika kwa mfumo huu wa sasa..!
 
Back
Top Bottom