Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi pata mkuu.Je kama unataka kusoma DIPLOMA unaweza pata mkopo?
Ndiyo maana kuna kiapo cha majina mahakamani...!naomba kufahamu, je!, cheti cha kuzaliwa na cha form 4 vkitfautian herufi 1 ya jina inaweza kuwa sababu ya kukufanya usipewe mkopo?
mfano. cheti cha kuzaliwa. Ismail Hasani Rajabu
cha form 4. Ismaili Hasani Rajabu.
cheti cha kuzaliwa kwenye jina la mwanzo hakina ( i) mwisho
waziri mkuu.Hivi Mkuu wa Majeshi na Waziri, nani Ni Mkuu kiprotokali?
Mi nilidhani Gwajima ndio Mkuu zaidiwaziri mkuu.
Nina mdogo wangu alimaliza diploma (clinical medicine) mwaka jana, anataka mwaka huu kuingia chuo, nataka kumuombea mkopo kupitia bodi ya mkopo tanzania, naomba anayejua utaratibu mmoja baada ya mwingine aniwekee step za kufata hapa ili nisikosee, naombeni sana msaada wenu waku na mungu awabariki sana.
Mzee ukiingia tu pale olas kila kitu siyo cha kukushinda ni kiingereza rahisi pia hata ukikosea una option ya kuweka sawa.anayejua juu ya application za load board anisaidie wakuu.
sifa anazo mkuu, kwani documente zake ninazo mimi, diploma ana GPA ya 4.4 ya clinical medicinePole. Naona wanazengo wanakupita tu kama hawakuoni huku wakifanya mizaha ya kukera.
Ni hivi kwa ufupi ila unaweza kunielewa.
Wewe usihangaike sana huyo mdogo wako anajua kama anasifa au hana sifa za mkopo. Yeye ndio mwenye uwezo wa kujaza fomu na kufuatilia kila hatua kwani yuko na wenzake huko chuoni. Wasiwasi wangu mdogo wako hana sifa pengine.
Kama unawezafika chuoni au bodi ya mikopo kwa ushauri zaidi.
asante mkuu, nilitaka kujua maana mara naskia kuna kutuma vyeti sijui wapi viwe satisfied pamoja na kulipia cheti cha kuzaliwa ili nacho kiwe satisfied, sijaelewa ndio maana nataka muongozo ulio kmili mkuuMzee ukiingia tu pale olas kila kitu siyo cha kukushinda ni kiingereza rahisi pia hata ukikosea una option ya kuweka sawa.
Mimi ni zamani kidogo sikumbuki steps na hata nilipomsaidia mtu kujaza nilikuta kuna vitu vimebadilika ambavyo hata siyo vigumu.
Just make sure una network (ya internet) yenye nguvu. Enzi naomba mkopo hakukua na 4g so niliapply mkopo kwenye Nokia ya kuslide saa nane usiku ndiyo nilikuta hakuna jam.
Certified ni kwamba vyeti vya taaluma utawapelekea Nacte wavihakiki kama ni halali. Ukienda ofisi zao wanahakiki hapo hapo.asante mkuu, nilitaka kujua maana mara naskia kuna kutuma vyeti sijui wapi viwe satisfied pamoja na kulipia cheti cha kuzaliwa ili nacho kiwe satisfied, sijaelewa ndio maana nataka muongozo ulio kmili mkuu
taaluma unapeleka kwa wakili na sio nacte,,, coz hvyo vyeti watoaji ni nacte haohao ila kinachotakiwa ni mahakamani wathibitishe kama ni kweli chako mwenyewe.Certified ni kwamba vyeti vya taaluma utawapelekea Nacte wavihakiki kama ni halali. Ukienda ofisi zao wanahakiki hapo hapo.
Hiki cha kuzaliwa unaenda nacho RITA na wao watakihakiki kama ni halali pia.
Hivyo vyeti vilivyohakikiwa ndiyo utakua unaupload zile sehemu zitakazohitaji vyeti.
kipindi mi naomba nilicertify kwa wakili. Juzi hapa niliyekua namsaidia akasema wameelekezwa wacertify kwa Nacte. Ila kama wamerudisha kwa wakiki sawaVya ta
taaluma unapeleka kwa wakili na sio nacte,,, coz hvyo vyeti watoaji ni nacte haohao ila kinachotakiwa ni mahakamani wathibitishe kama ni kweli chako mwenyewe.