Ngalelikumtwa
Member
- Oct 17, 2019
- 27
- 12
Mfumo ule wa nyuma kidogo ulikuwa unaweza ku edit taharifa zako na ku print upya form yako.Kwani mambo yamebadilika kwa mfumo huu wa sasa..!
Wakuu..
Ivi kwenye kuomba mkopo wa bodi ya elimu ya juu mtandaoni picha za passport size zinatakiwa ziwe kwenye format ipi PDF au yoyote..
MSAADA JAMANI NIMEULIZWA NIMESHINDWA KUJIBU.
Hapana isiwe kwenye PDF .. iwe picha ya kawaida mfano PNG,j jpg
Iko cheti ulifanya Verification kwa kutumia cm au pc?NAOMBENI USHAURI WENU, KUNA MDOGO WANGU AMEOMBA MKOPO SASA TUMESHAJAZA NA KULIPIA KILA KITU ILA TUNASUBILIA CERTIFICATE VERIFICATION KWENYE SYSTEM YA RITA, BAADA YA WEEK MBILI (IJUMAA YA TAREHE 21) WALILUDISHA MAJIBU YA KUWA SIJAAMBATANISHA CHETI KWENYE SYSTEM (UKWELI NI KWAMBA CHETI NILIWEKA), IKANILAZIMU NIWAWEKEE TENA, ILA MPAKA SASA NAONA KIMYA NA SIKU ZINAZIDI KUYOYOMA, KITU KINGINE NIMEINGIA KWENYE SYSTEM LEO WANASEM KUWA PESA HAWAJAPOKEA NDIO WANAZIDI KUNIVURUGA NA NIPO MKOANI UKU, NIMEENDA RITA YA UKU MKOANI WANASEMA AYO MAMBO NI MPAKA MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM, USHAURI WENU TAFADHARI????
NAOMBENI USHAURI WENU, KUNA MDOGO WANGU AMEOMBA MKOPO SASA TUMESHAJAZA NA KULIPIA KILA KITU ILA TUNASUBILIA CERTIFICATE VERIFICATION KWENYE SYSTEM YA RITA, BAADA YA WEEK MBILI (IJUMAA YA TAREHE 21) WALILUDISHA MAJIBU YA KUWA SIJAAMBATANISHA CHETI KWENYE SYSTEM (UKWELI NI KWAMBA CHETI NILIWEKA), IKANILAZIMU NIWAWEKEE TENA, ILA MPAKA SASA NAONA KIMYA NA SIKU ZINAZIDI KUYOYOMA, KITU KINGINE NIMEINGIA KWENYE SYSTEM LEO WANASEM KUWA PESA HAWAJAPOKEA NDIO WANAZIDI KUNIVURUGA NA NIPO MKOANI UKU, NIMEENDA RITA YA UKU MKOANI WANASEMA AYO MAMBO NI MPAKA MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM, USHAURI WENU TAFADHARI????
Mkurugenzi Mtendaji,Juu ya bahasha ya kutuma EMS kwenda bodi ya mikopo tunaandikaje
Habari za mida wakuu.
Nina changamoto katika kulogin kuuply for loan. Kila nikiweka namba ya shule(form 4 index number) naambiwa shule haipo; Je kuna aliokutana na tatizo hili na je ninaanzia wapi kulitatua?
Asanteni.
Mkuu hyo namba ya posts nahisi bado hujamalizia.. Nakumbuka ni namba refused sana.. Kawaida masanduku ya posta za Dar namba zake ni kubwa sanaMkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB),
S.L.P 76068,
Dar es salaam.
Kwàn si kuna bahasha zake special unapewa ukifika sehemu unayo takiwa kutuma na hiyo bahasha inakuwa inajieleza yenyewe inapaenda au?Juu ya bahasha ya kutuma EMS kwenda bodi ya mikopo tunaandikaje
Mkuu hyo namba ya posts nahisi bado hujamalizia.. Nakumbuka ni namba refused sana.. Kawaida masanduku ya posta za Dar namba zake ni kubwa sana
Kwàn si kuna bahasha zake special unapewa ukifika sehemu unayo takiwa kutuma na hiyo bahasha inakuwa inajieleza yenyewe inapaenda au?
Ww unaishi wap kwan? ..... mbona uku dsm mm nimetoka kutuma jana na nilivyo fika nikagewa bahasha special ambayo mnje unaandika namba yako ya kidato cha nne na jina lako kamili kisha inapigwa stamp then unapewa control number ukalipieKwa post zote nilizowahi kwenda mimi sijawahi kuona hii Kitu!
Ninachokutana nacho ni kuwa wanauza bahasha Plane tu.
Nikwel kuna kitu kinaitwa Award Verification Number (AVN) hii ndio itatumika kuombea chuo level ya degree ila hii cyo lazima uende nacte unaingia kwenye system ya nacte online kisha unajisajili utapewaHabarini, naombeni kujua nina mdogo wangu amemlaiza diploma ya clinical officer mwaka jana, anataka kuingia chuo mwaka huu na cheti alishapata pale nacte na sasa tunakaa nae uku mkoani moshi, je kuna kitu kingine kitahitajika kwa baadae ambacho kitalazimu kufunga safari mpaka Nacte kwaajili ya kuomba nafasi ya chuo??, naama nikisoma uku naona wadau wanzungumzia kuhusu namba sijui za nacte za kuombea chuo nashindwa kuelewa, msaada tafadhali
Nipe mwongozo niweze kupata mapemaNikwel kuna kitu kinaitwa Award Verification Number (AVN) hii ndio itatumika kuombea chuo level ya degree ila hii cyo lazima uende nacte unaingia kwenye system ya nacte online kisha unajisajili utapewa
Jaribu kuingia kwenye website ya nacte kisha ikifungua utaona kunavipengele kibao pale xaxa ww utaingia kwenye kipengele cha AVN kisha utajisahili kila kitu kinajieleza tu mdauNipe mwongozo niweze kupata mapema