Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Wakuu..
Ivi kwenye kuomba mkopo wa bodi ya elimu ya juu mtandaoni picha za passport size zinatakiwa ziwe kwenye format ipi PDF au yoyote..
MSAADA JAMANI NIMEULIZWA NIMESHINDWA KUJIBU.
 
NAOMBENI USHAURI WENU, KUNA MDOGO WANGU AMEOMBA MKOPO SASA TUMESHAJAZA NA KULIPIA KILA KITU ILA TUNASUBILIA CERTIFICATE VERIFICATION KWENYE SYSTEM YA RITA, BAADA YA WEEK MBILI (IJUMAA YA TAREHE 21) WALILUDISHA MAJIBU YA KUWA SIJAAMBATANISHA CHETI KWENYE SYSTEM (UKWELI NI KWAMBA CHETI NILIWEKA), IKANILAZIMU NIWAWEKEE TENA, ILA MPAKA SASA NAONA KIMYA NA SIKU ZINAZIDI KUYOYOMA, KITU KINGINE NIMEINGIA KWENYE SYSTEM LEO WANASEM KUWA PESA HAWAJAPOKEA NDIO WANAZIDI KUNIVURUGA NA NIPO MKOANI UKU, NIMEENDA RITA YA UKU MKOANI WANASEMA AYO MAMBO NI MPAKA MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM, USHAURI WENU TAFADHARI????
 
Iko cheti ulifanya Verification kwa kutumia cm au pc?
 
Usivurugike .. tuma tena kwa usahihi
 
Habari za mida wakuu.
Nina changamoto katika kulogin kuuply for loan. Kila nikiweka namba ya shule(form 4 index number) naambiwa shule haipo; Je kuna aliokutana na tatizo hili na je ninaanzia wapi kulitatua?
Asanteni.

Vipi Mkuu ulifanikiwa kusolve tatizo lako?

Coz kuna Mtu hapa ameniambia nayeye amefikwa na tatizo kama lako kuwa akiingiza namba ya Shule anaambiwa Shule haipo, Hivyo kama ulisolve hilo tatizo naomba share ulivyofanikiwa ili nahuyo Mtu nikamsaidie.
 
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB),
S.L.P 76068,
Dar es salaam.
Mkuu hyo namba ya posts nahisi bado hujamalizia.. Nakumbuka ni namba refused sana.. Kawaida masanduku ya posta za Dar namba zake ni kubwa sana
 
Kwàn si kuna bahasha zake special unapewa ukifika sehemu unayo takiwa kutuma na hiyo bahasha inakuwa inajieleza yenyewe inapaenda au?

Kwa post zote nilizowahi kwenda mimi sijawahi kuona hii Kitu!
Ninachokutana nacho ni kuwa wanauza bahasha Plane tu.
 
Habarini, naombeni kujua nina mdogo wangu amemlaiza diploma ya clinical officer mwaka jana, anataka kuingia chuo mwaka huu na cheti alishapata pale nacte na sasa tunakaa nae uku mkoani moshi, je kuna kitu kingine kitahitajika kwa baadae ambacho kitalazimu kufunga safari mpaka Nacte kwaajili ya kuomba nafasi ya chuo??, naama nikisoma uku naona wadau wanzungumzia kuhusu namba sijui za nacte za kuombea chuo nashindwa kuelewa, msaada tafadhali
 
Ww unaishi wap kwan? ..... mbona uku dsm mm nimetoka kutuma jana na nilivyo fika nikagewa bahasha special ambayo mnje unaandika namba yako ya kidato cha nne na jina lako kamili kisha inapigwa stamp then unapewa control number ukalipie
 
Habarini, naombeni kujua nina mdogo wangu amemlaiza diploma ya clinical officer mwaka jana, anataka kuingia chuo mwaka huu na cheti alishapata pale nacte na sasa tunakaa nae uku mkoani moshi, je kuna kitu kingine kitahitajika kwa baadae ambacho kitalazimu kufunga safari mpaka Nacte kwaajili ya kuomba nafasi ya chuo??, naama nikisoma uku naona wadau wanzungumzia kuhusu namba sijui za nacte za kuombea chuo nashindwa kuelewa, msaada tafadhali
Nikwel kuna kitu kinaitwa Award Verification Number (AVN) hii ndio itatumika kuombea chuo level ya degree ila hii cyo lazima uende nacte unaingia kwenye system ya nacte online kisha unajisajili utapewa
 
Nipe mwongozo niweze kupata mapema
 
Nipe mwongozo niweze kupata mapema
Jaribu kuingia kwenye website ya nacte kisha ikifungua utaona kunavipengele kibao pale xaxa ww utaingia kwenye kipengele cha AVN kisha utajisahili kila kitu kinajieleza tu mdau
 
Back
Top Bottom