Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Jaribu kuingia kwenye website ya nacte kisha ikifungua utaona kunavipengele kibao pale xaxa ww utaingia kwenye kipengele cha AVN kisha utajisahili kila kitu kinajieleza tu mdau
Nimeingia kwenye website yao ila siioni mkuu iyo AVN
 
Ivi Vitambulisho vya Nida navyo Vinakuwa Certified kwa Wakili?
 
Na kwa kwenye uzoefu niliuliza swali ninapoingiza School number kwenye Mfumo wa OLAS kinachojitokeza ni:-

School Name : No school found with number S5XXX

Nisaidieni kutatua hii changamoto
 
Kwaiyo ulishajisajili mara ya kwanza au ndio umeanza kuingia mara ya kwanza
 
Nimemsajilia Mdogo wangu mara ya kwanza Jana na nikapita step zote nilipofika kuingiza namba ya Shule ndiyo ikaniambia Hiyo Shule Haipo.

Dogo kawa frustrated ghafla that's why nimeomba msaada
 
Wechek kwenye namba yao ya WhatsApp 0736665533
 
Angalia namba uliyo iandika kwa makini mkuuu hata mm iliniandikia hivyo kumbe niliandika namba kimakosa
 
Na kwa kwenye uzoefu niliuliza swali ninapoingiza School number kwenye Mfumo wa OLAS kinachojitokeza ni:-

School Name : No school found with number S5XXX

Nisaidieni kutatua hii changamoto
Nitajie jina na namba ya shule nikuangalizie chap
 
Angalia namba uliyo iandika kwa makini mkuuu hata mm iliniandikia hivyo kumbe niliandika namba kimakosa

Mkuu nina uhakika hata ukigoogle namba niliyoiandika itakuletea mpaka picha za wanafunzi wa hiyo Shule.

Kukosea mara moja sawa! Lakini kukosea namba ndani ya siku 2 kwa attempt zaidi ya 20 sidhani kama naweza kufanya makosa kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom