Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Nawapenda watu waelewa haraka kama wewe..J3 ya tar.31/08/2020,ya wiki ijayo ndiyo aliimanisha...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapenda watu waelewa haraka kama wewe..J3 ya tar.31/08/2020,ya wiki ijayo ndiyo aliimanisha...!
Ili upate mkopo lazima upate admission ya chuo chochote ndugu kwaiyo kama unaweza pata chuo mkopo atapataHivi kwa mtu aliyemaliza six 2017 na division 3 anaeza pata mkopo na ni yatima?
❓❓But kwamimi niliyeingilia Fani za Watu napatashida sana! Itabidi niulize tena hivi!
Je, Fomu inayopelekwa Post kwenda HESLB ni ile ambayo Original iliyosainiwa na Mkopaji, Mdhamini, Kijiji na Wakili?
Au ukishascan ukurasa namba 2 na 5 ambao umesainiwa na kuapload sehemu ya Muombaji na Mdhamini baadae unaidowload na hiyo uliyoidownload kwa Mara ya pili ndiyo unaipeleka Posta?
Kwa badae marejesho ya koje maana kuna wengine wana mikopo mingineIli upate mkopo lazima upate admission ya chuo chochote ndugu kwaiyo kama unaweza pata chuo mkopo atapata
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Unatuma orijino. Unazo print mara ya pili unabaki nazo kwa tahadhariBut kwamimi niliyeingilia Fani za Watu napatashida sana! Itabidi niulize tena hivi!
Je, Fomu inayopelekwa Post kwenda HESLB ni ile ambayo Original iliyosainiwa na Mkopaji, Mdhamini, Kijiji na Wakili?
Au ukishascan ukurasa namba 2 na 5 ambao umesainiwa na kuapload sehemu ya Muombaji na Mdhamini baadae unaidowload na hiyo uliyoidownload kwa Mara ya pili ndiyo unaipeleka Posta?
Hivi Hawa jamaa,,m wataongeza kweli muda wa kufanya application za mkopo? Maana mmh!Unatuma orijino. Unazo print mara ya pili unabaki nazo kwa tahadhari
Hivi kwa mwanafunzi aliemaliza 2019, na akahitaji kuapply mkopo na chuo mwaka huu, vipi kwenye mchakato cheti Cha form six kinahitajika pia au namba ya mtihani? Maana hapo kweye mwingozo, hajaeleza.
Duh ., Afadhali aseeh..!Namba ya Mtihani tu unajaza kwenye Mfumo
Shida kubwa naona ipo kwenye kuhakiki vyeti, nadhani wanaweza kufanya kama mwaka jana kwa walio jisajili tuHivi Hawa jamaa,,m wataongeza kweli muda wa kufanya application za mkopo? Maana mmh!
Yeah vyeti vinakaa Sana, Lakini,Unamaanisha Nini hapa..? Sijakuelewa mkuu, mwaka Jana walifanyeje..?Shida kubwa naona ipo kwenye kuhakiki vyeti, nadhani wanaweza kufanya kama mwaka jana kwa walio jisajili tu
Mwaka jana waliongeza muda kwa walio jisajili kuomba mkopo.Yeah vyeti vinakaa Sana, Lakini,Unamaanisha Nini hapa..? Sijakuelewa mkuu, mwaka Jana walifanyeje..?
Duuh, itabidi wafanye hivyo.Mwaka jana waliongeza muda kwa walio jisajili kuomba mkopo.
Waliongeza kwa muda gani mkuu?Mwaka jana waliongeza muda kwa walio jisajili kuomba mkopo.
Katafute kiapo cha majina mahakamani,kama ni kuomba mkopo utaambatanisha hati ya kiapo kwenye fomu zako wakati wa kutuma bodi ya mikopo...!Wakuu hivi mtu akiwa kwenye Cheti cha kuzaliwa kaandikisha majina matatu ila cha form 4 kaandikishwa majina mawili yani la katikati hakutumia apo inakuaje kwa anaejua plz?!
Shukran mkuuKatafute kiapo cha majina mahakamani,kama ni kuomba mkopo utaambatanisha hati ya kiapo kwenye fomu zako wakati wa kutuma bodi ya mikopo...!