Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Hivi kwa mtu aliyemaliza six 2017 na division 3 anaeza pata mkopo na ni yatima?
 
But kwamimi niliyeingilia Fani za Watu napatashida sana! Itabidi niulize tena hivi!

Je, Fomu inayopelekwa Post kwenda HESLB ni ile ambayo Original iliyosainiwa na Mkopaji, Mdhamini, Kijiji na Wakili?
Au ukishascan ukurasa namba 2 na 5 ambao umesainiwa na kuapload sehemu ya Muombaji na Mdhamini baadae unaidowload na hiyo uliyoidownload kwa Mara ya pili ndiyo unaipeleka Posta?
❓❓
 
Unatuma orijino. Unazo print mara ya pili unabaki nazo kwa tahadhari
 
Hivi kwa mwanafunzi aliemaliza 2019, na akahitaji kuapply mkopo na chuo mwaka huu, vipi kwenye mchakato cheti Cha form six kinahitajika pia au namba ya mtihani? Maana hapo kweye mwingozo, hajaeleza.
 
Namba ya Mtihani tu unajaza kwenye Mfumo
 
Hivi Hawa jamaa,,m wataongeza kweli muda wa kufanya application za mkopo? Maana mmh!
Shida kubwa naona ipo kwenye kuhakiki vyeti, nadhani wanaweza kufanya kama mwaka jana kwa walio jisajili tu
 
Yeah vyeti vinakaa Sana, Lakini,Unamaanisha Nini hapa..? Sijakuelewa mkuu, mwaka Jana walifanyeje..?
 
Wakuu hivi mtu akiwa kwenye Cheti cha kuzaliwa kaandikisha majina matatu ila cha form 4 kaandikishwa majina mawili yani la katikati hakutumia apo inakuaje kwa anaejua plz?!
 
Katafute kiapo cha majina mahakamani,kama ni kuomba mkopo utaambatanisha hati ya kiapo kwenye fomu zako wakati wa kutuma bodi ya mikopo...!
 
Ivi wakuu wale form six walioenda jeshin wao mkopo wataaply lini ukizingatia kipind wanaondoka ndo dirisha lilifunguliwa na pia si kila mtu anandugu anayeweza kumfanyia application au watawaongezea mdaa ????
 
Back
Top Bottom