Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua?
This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma.
Wakopaji wana NIDA, identifications ,
Ujazaji wa form unahusisha mashahidi,
Majina kamili, shule wanazosoma, mahali wanapoishi etc
Kweli Taasisi kama Helsb inayokusanya billions of money imeshindwa kutengeneza robust system itakayo track kila aliyekula mkopo, alipo na anafanya nini?
Kweli kwa dunia ya blockchain , Internet of things , geospatial, AI, machine learning , big data analysis etc etc hili ni tatizo?
Hivi fichua Fichua is it even scientific ? What was the pilot Study ya hii kitu kuona effectiveness ?
watanzania ndio waambie fulan namjua hakatwi na bodi? kisha nyie ndio muende? Dah aibu!
CEO unapitisha kitu kama hiko? What is the effectiveness ya kitu kama hicho? Not even scientific based!
Inakuaje taaasisi multibillions inaendeshwa kama ofisi ya mganga wa kienyeji!!!
Is there any substantial % ambayo hiyo fichu fichua itafanikiwa ? ! It is very cheap and local na ni kuwasumbua watanzania.
Kuna namna kama TAIFA TUME STUCK.
Nasema tena kama Taifa, kuna taasisi nyingi za Umma hawajui nini wanafanya!!!
Taita Kama Namibia na Kenya yeyote aliyesomeshwa na Bodi analipa hela uwe ndani ya nchi au nje ya nchi , wameweka mfumo ambao popote ulipo duniani utalipa hela kupitia balozi zao kwenye system ile ile.
Nyie Helsb mmesomesha watu wangapi ambao tupo nje? Do you track these people na ku collect pesa zenu?
ni watumishi wa umma ndio wanabanwa ndio maana wengi wanastaafu wakiwa masikini na wanafia along the way, aibu snaa
hapo TZ walio private mostly hawalipi returns zenu. Hakuna weledi Helsb na ufanisi.
Kama ningekuwa Rais , huyu CEO ningekula kichwa, hana innovation yenye tija, ni aibu kwa gvt . Fichua fuchua, hiyo sio kazi ya Raïa , shame !
Mmeshindwa kuwa smart .
KAMATI za TEUZI bado nipo na nyie , mnajifunza nini kwenye mchakato wa kumpata CEO wa WHO? ambao Ndugulile anagombania? That is how it should be. Kuna mambo yanahitaji
Technical expertisim na sio teuzi za mchongo mchongo.
Mmeona CV ? Faustine hatoboi, hana quality na competency kuwazidi wale jamaa wanne. Kamati za TEUZI igeni namna WHO inavyo endeasha zoezi la kumpata CEO , faire square
. Taasisi za Umma CEO needs to be technical expert: with leadership skills , otherwise bongo hamtoboi hata miaka 100 na teuzi zenu za kichawa, matokeo yake vijana wanaona better way to go ni Uchawa badala ya elimu