Ni Shida, ukiwapigia simu wanasema login Rita ukilogin Rita hakuna birth verification number Bali unakuta Entry number ambayo pia ipo katika cheti cha kuzaliwa, sasa sijui huwa wanamaanisha niniAisee hivi ile birth verification number naipataje?
Nime-experience the same problem kama wewe hadi sasa bado sijafanikiwa wengine wanasema ni tatizo la mfumo. Zile namba wameziweka pale kama mapambo hazipo active. Sijajua wew umeshatatua tatizo au bado? Naomba mrejesho pia nijue nitafanikishaje jambo hilo.Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali?
Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
tayari kitambo wamerekebishaNime-experience the same problem kama wewe hadi sasa bado sijafanikiwa wengine wanasema ni tatizo la mfumo. Zile namba wameziweka pale kama mapambo hazipo active. Sijajua wew umeshatatua tatizo au bado? Naomba mrejesho pia nijue nitafanikishaje jambo hilo.
Verification namba ya cheti RITA naipataje?MWENYE SHIDA YA RITA,NACTE(AVN) NA MKOPO(HESLB) ANIAMBIE NIMSAIDIE HAPA HAPA BUREEEEEEEEEE
RITA Jinsi ya kupata verification code( bonyeza birth services- certificate verification kisha bonyeza print yenye rangi nyekundu(KWENYE KILE CHETI ULICHOTUMA RITA) utaona namba iliyopo juu kulia) Asante.RITAVerification namba ya cheti RITA naipataje?
Verification namba ya cheti RITA naipataje?
avn uwa wanaitoa baada ya muda gani?MWENYE SHIDA YA RITA,NACTE(AVN) NA MKOPO(HESLB) ANIAMBIE NIMSAIDIE HAPA HAPA BUREEEEEEEEEE
Asante mkuu wa wakuu lakini nilitaka kuverify vyeti viwili cha ajabu nimekuta kimoja cha kifo, cha kuzaliwa bado.
Unaweza ipata mda huo huo Kamaa matokeo Yako yameshatumwa kitambo nacte so avn inakuwepo tu inakusubili wewe ukishalipa unapatiwaavn uwa wanaitoa baada ya muda gani?
Kuwa na subra mkuu Kuna mtu nilimuombea imechukua Zaid ya siku 10 Hadi 15 za kaziAsante mkuu wa wakuu lakini nilitaka kuverify vyeti viwili cha ajabu nimekuta kimoja cha kifo, cha kuzaliwa bado.
Duuuh aseee mimi na week mbili awajaludshaUnaweza ipata mda huo huo Kamaa matokeo Yako yameshatumwa kitambo nacte so avn inakuwepo tu inakusubili wewe ukishalipa unapatiwa
Kwenye Account wanakuambiaje?Duuuh aseee mimi na week mbili awajaludsha
inagoma funguka ndguKwenye Account wanakuambiaje?
Inagomaje mkuu weka tatizo husika mkuuinagoma funguka ndgu
pasword inagoma ndgu yngu wakt wao ndo walinipa, naomba nisaidie nduguInagomaje mkuu weka tatizo husika mkuu
Kama inagoma na unaandika sahihi hapo sehemu ya kuwekaa password Kuna link nyekundu inauliza forgot password bonyeza watakuomba uinginz namba ya mtihani, namba ya Simu uliyotumia kujiunga na email baada ya hapo bonyeza button ya rest au request chin watakutimia link kwenye email utatengeneza password upya au watakutimia code kwenye simu then utaingiza itengenezwe password mpyapasword inagoma ndgu yngu wakt wao ndo walinipa, naomba nisaidie ndugu