Merit barthasary
Member
- Feb 25, 2018
- 6
- 2
ndugu zangu kuna kipengere kilikua kinasumbua watu nimekitatua kutumia simu , ni hapo kwenye verifiction number ukitumia pc kidogo kinazubaa ila sim ni shwaaa green tik number ndo iyo kama ilivoHabari Mr. Meck. Kule kwenye account ya RITA tayari wametoa verification number lakini nikiingiza kwenye OLAS inadai invalid verification number, leo ni siku 6 zimepita tangu ni apply for birth verification. Je yawezekana uhakiki haujakamilika bado pamoja na kuwa number ya uhakiki wameshatoa RITA?View attachment 2311152