Hakuna liyepandishiwa Kuna jamaa amedahiliwa MD anda amepangiwa laki 2 na Ada ya Chuo n million 5+Inakatisha tamaa mkuu
Ada wanakulipia laki mbili na thelathini hapo mtu unakipengele cha kulipa 1.1 Million ya ada kutoka katika hilo hilo boom then wao wanapunguza tena 70k halafu hawa wa sasa wamewapandishia wanawalipia laki 5 kwa maana wao wenyew wameona haitoshi mpaka wakapandisha