Bodi ya Mikopo hiki mlichotufanyia continuous ni nini?

Inakatisha tamaa mkuu
Ada wanakulipia laki mbili na thelathini hapo mtu unakipengele cha kulipa 1.1 Million ya ada kutoka katika hilo hilo boom then wao wanapunguza tena 70k halafu hawa wa sasa wamewapandishia wanawalipia laki 5 kwa maana wao wenyew wameona haitoshi mpaka wakapandisha
Hakuna liyepandishiwa Kuna jamaa amedahiliwa MD anda amepangiwa laki 2 na Ada ya Chuo n million 5+
 
Mtu aliyepangiwa mkopo mwaka huu kwa kiwango cha chini kabisa ni Milioni 3.0 kwa mwaka hata huyo wa MD aangalie total ya pesa alopangiwa itakuwa ni hiyo sometimes kunakuwaga na miss allocation ila Total amount huwaga ni ile ile
 
elewa kilichoandikwa kina maanisha alichowekewa allocation
 
VYUMBA.jpg
 
Back
Top Bottom