Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS)ilimaliza muda wake 2021 hadi leo ipo kazini

Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS)ilimaliza muda wake 2021 hadi leo ipo kazini

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Hii nchi ina vituko kwa kweli.

Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS) iliundwa mwaka 2019 ambapo kipindi chake kilitakiwa kiishie mwaka 2021 ila cha kushangaza hadi sasa bodi hiyo ni mwaka 2023 ipo kazini.

Nimekubali Maza anaupiga mwingi.
 
  • Embu kapicha wakiwa kwenye kikao cha bodi
 
  • Embu kapicha wakiwa kwenye kikao cha bodi
Wajumbe wa Bodi (Waliokaa Kushoto), Prof. Dos Santos Silayo , Br. Jenerali Mkeremy, Mh. Dr, Khamis Kigwangalla
 
Attachments

  • E5C6AA0B-905C-4138-9ED0-B407B7FCBCAF.png
    E5C6AA0B-905C-4138-9ED0-B407B7FCBCAF.png
    217.2 KB · Views: 9
Wajumbe wa Bodi (Waliokaa Kushoto), Prof. Dos Santos Silayo , Br. Jenerali Mkeremy, Mh. Dr, Khamis Kigwangalla
Mleta mada una chuki binafsi? Kwa hiyo Kigwangala bado ni bodi member sivyo?
Just kuwa mkweli wala haitakugharimu kitu!
Mkeremy na Silayo (kwa position yake) ndio still member hao wengine wote hapo sio member wa bodi.
Au wewe hukuwepo kwenye kikao wakati mh Pindi Chana akizindua bodi ya nne ya TFS?
Nachofahamu mimi bodi hii imeanza kazi tarehe 22 September mwaka jana kwa tangazo rasmi la waziri na itakoma shughuli zake September 2025.
In short acha majungu…..fanya kazi!
 
Hii bodi inafanya kazi gani?

Huko Dareda Babati wenye pesa wanagawana msitu...very sad msitu unaotegemewa na maeflu ya wakazi wa Dareda na majirani zake

Majabali yakianza kuporomoka na kufukia watu mseme mabadiliko Tabia nchi ....amkeni kwenye VITI nendeni field
 
Back
Top Bottom