peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hii nchi ina vituko kwa kweli.
Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS) iliundwa mwaka 2019 ambapo kipindi chake kilitakiwa kiishie mwaka 2021 ila cha kushangaza hadi sasa bodi hiyo ni mwaka 2023 ipo kazini.
Nimekubali Maza anaupiga mwingi.
- Embu kapicha wakiwa kwenye kikao cha bodi
Wajumbe wa Bodi (Waliokaa Kushoto), Prof. Dos Santos Silayo , Br. Jenerali Mkeremy, Mh. Dr, Khamis Kigwangalla
- Embu kapicha wakiwa kwenye kikao cha bodi
Mleta mada una chuki binafsi? Kwa hiyo Kigwangala bado ni bodi member sivyo?Wajumbe wa Bodi (Waliokaa Kushoto), Prof. Dos Santos Silayo , Br. Jenerali Mkeremy, Mh. Dr, Khamis Kigwangalla
Tfs Mishahara yao ,ikoje mkuu ?Hii bodi inafanya kazi gani?
Huko Dareda Babati wenye pesa wanagawana msitu...very sad msitu unaotegemewa na maeflu ya wakazi wa Dareda na majirani zake
Majabali yakianza kuporomoka na kufukia watu mseme mabadiliko Tabia nchi ....amkeni kwenye VI
TI nendeni ffiTfs