DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?Nchi za dunia ya tatu, usicheze na aliyeshika mpini ukiwa umeshika makali utaumia tu........
Soon wataanza kulia.
Na hii haihusiani na nani yupo right, nani ypo wrong.
Ila namjua atakayelia ni nani mwisho wa hili game.
Chief kwanini tujadili wakati huko nyuma kulikuwa na loophole kubwa tu ya kupiga hela kupitia kitita cha zamani na hizo hospital zinazogoma ilifaidika bila kupiga kelele..?Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?
Kwanini tusijadili hicho.kitita kuliko kutumia Nguvu?
Lakini kipindi wanapiga haikuwa fadhila ilikuwa ni Halali yao kwa sababu waliuza huduma na bidhaaChief kwanini tujadili wakati huko nyuma kulikuwa na loophole kubwa tu ya kupiga hela kupitia kitita cha zamani na hizo hospital zinazogoma ilifaidika bila kupiga kelele..?
Mkuu hebu niambie dawa gani iliyoshuka Bei..Hospitali binafsi ziache uhuni. Kimsingi serikali yenye ndio ilianza kudekeza haya mambo baada ya wakwepa kodi wa kariakoo kutishia kufunga maduka. Ikamlazimu waziri mkuu kusimama masaa kadhaa akiwasikiliza. Wakatoa madai yaonwaendelee kukwepa kodi.
Madawa yameteremka bei kutokana na sababu mbalimbali unalazimishaje bei iwe ile ile? Mbona madawa yaliyopanda bei hawasemi. Kumwona daktari hawasemi. Zamani kuosha damu ilikuwa 500,000 leo 150,000 wanataka ibaki 500,000?.
Waacheni wasipokee wagonjwa wa NHIF. Hospitali za serikali ni nzuri sana kwa sasa. Nashangaa watu wanaenda hospitali binafsi.
Daktari yule wa hospitali binafsi anatoka hospitali ya serikali. Akifika hosp binafsi, kumeona ni mara 2 ya hosp ya serikali. Amepandaje bei wakati kichwa ni kile kile?Halafu mnalia lia tengenezeni madaktari wenu.
Wameshikwa pabaya sana Serkali 🤣🤣TMJ shikilia hapo hapo
Basi wajaribu kuendana na matakwa ya mikataba yao kama ikishindikana wafunge tu. Niliskia pahala walikuwa wanasema polyclinic binafsi zimekuwa nyingi, watu wa sera wanajaribu kuzipunguza maana tusiwe waongo NHIF imewatajirisha wamiliki wengi wa hospitali binafsi.Lakini kipindi wanapiga haikuwa fadhila ilikuwa ni Halali yao kwa sababu waliuza huduma na bidhaa
Udikteta haukuishia awamu ya 5Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?
Kwanini tusijadili hicho.kitita kuliko kutumia Nguvu?
Haijawatajirisha ila wagonjwa ndo wanaenda sana na wao wanatoa huduma hizo..Basi wajaribu kuendana na matakwa ya mikataba yao kama ikishindikana wafunge tu. Niliskia pahala walikuwa wanasema polyclinic binafsi zimekuwa nyingi, watu wa sera wanajaribu kuzipunguza maana tusiwe waongo NHIF imewatajirisha wamiliki wengi wa hospitali binafsi.
Ila Awamu hii ni zaidi aiseeUdikteta haukuishia awamu ya 5
Hata hii awamu ya 6 ina udikteta pia
Whats there cha kufurahia..? Kukosa wagonjwa au kushindwa kutibu mgonjwa ukiwa huru kwenye ku exercise ujuzi wako wote..?? Either way hapo, serikali na hizo hospitali za binafsi wanakosa wote kama wakiendelea kugoma.Madaktari wanafurahia kweli
Hii Point Kubwa sana 📌📌Whats there cha kufurahia..? Kukosa wagonjwa au kushindwa kutibu mgonjwa ukiwa huru kwenye ku exercise ujuzi wako wote..?? Either way hapo, serikali na hizo hospitali za binafsi wanakosa wote kama wakiendelea kugoma.