Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
W
Wako wangapi hao unaowafikiria? Watanzania wengi ni wakununua Panadol na kutafuna mishe zinaendelea hili ndio kundi no 1 Kwa ukubwa na 2 ni hao wa Nhif na 3 .walio wachache ndio hao unaowasema.Jf imejaa ujuaji na dhahiri shairi ni sehemu ya kupima kiwango Cha unafiki wa Watanzania. Mazungumzo ni muhimu Kwa mustakabari wa afya za Watanzania huu mgogoro hauna tija.Wewe unawajua Wateja wa Agha Khan lakini? 😂