Wako wangapi hao unaowafikiria? Watanzania wengi ni wakununua Panadol na kutafuna mishe zinaendelea hili ndio kundi no 1 Kwa ukubwa na 2 ni hao wa Nhif na 3 .walio wachache ndio hao unaowasema.Jf imejaa ujuaji na dhahiri shairi ni sehemu ya kupima kiwango Cha unafiki wa Watanzania. Mazungumzo ni muhimu Kwa mustakabari wa afya za Watanzania huu mgogoro hauna tija.Wewe unawajua Wateja wa Agha Khan lakini? 😂
Kwanza ilishajichokea, ilibaki jina tu,kasusa wengine wamechukua wateja wakeTMJ shikilia hapo hapo
Serikali ya ccm siku zote inatumia nguvu, sasa watasemaje mbele ya walala hoi(Siye). Wamezoea kutuambia mama anaupiga mwingi, sasa kwenye hili Serikali haitaki mjadala wanataka kutumia nguvu na blackmail. Serikali inatoa vibali na usajili wa hospitali binafsi zote nchini, hiyo ndiyo karata yake. Utasikia hospitali isiyotaka kupokea wagonjwa wa NHIF tutaifungia kutoa huduma, hawana jingine.Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?
Kwanini tusijadili hicho.kitita kuliko kutumia Nguvu?
Dada yangu Ummy shikilia hapohapo, kuna wahuni wachache wanataka kufanya huduma za afya kuwa biashara kwa expenses za mgonjwa.
Biashara Zipo nyingi lakini siyo Afya za watu tafadhali, kama ni utajiri wakachimbe madini au wakafungue maduka kariakoo na kuagiza mizigo kutoka nje waje wauze wanavyotaka wao. hao wanaijaribu serikali na kujaribu Ku temper na nafasi yako ya Uwaziri wa Afya. Usiwachekee
Kwa tanzania kila kitu ni siasa,hadi ndoa.Afya ya binadamu siyo Siasa
😅😅Kitita hakina tatizo hawa binafsi wamezoea dawa ya 200 wanachaji 1000, binafsi ningezifungia leseni haospitali mbili za mfano mpaka sasa
SIku ukielewa kuna Hospitali aina Nne utakuwa umekua kiakili..Dada yangu Ummy shikilia hapohapo, kuna wahuni wachache wanataka kufanya huduma za afya kuwa biashara kwa expenses za mgonjwa.
Biashara Zipo nyingi lakini siyo Afya za watu tafadhali, kama ni utajiri wakachimbe madini au wakafungue maduka kariakoo na kuagiza mizigo kutoka nje waje wauze wanavyotaka wao. hao wanaijaribu serikali na kujaribu Ku temper na nafasi yako ya Uwaziri wa Afya. Usiwachekee
Hakuna Dawa ya 30 inayouzwa 5000..Ni aibu kuona magonjwa yamekuwa mtaji mbele ya baadhi ya binadamu!
Kwani kunashida gani hii fedha ikazunguka humo humo serikalini kwa kuanzisha vituo vya kutoa huduma hadimu kila wilaya!!? Maana ni upuuzi dawa ya 30 kwa kidonge unauziwa kwa 5000! Kuna maamuzi engine hayahitaji PHD au masters kuyatekeleza ni uamuzi tu na utendaji! Wapeni jeshi kitengo cha matibabu waje na plan kama huko bingeni hamuwezi!
Kwani Aghkani imeanza kupokea Bima Lini mkuu??W
Wako wangapi hao unaowafikiria? Watanzania wengi ni wakununua Panadol na kutafuna mishe zinaendelea hili ndio kundi no 1 Kwa ukubwa na 2 ni hao wa Nhif na 3 .walio wachache ndio hao unaowasema.Jf imejaa ujuaji na dhahiri shairi ni sehemu ya kupima kiwango Cha unafiki wa Watanzania. Mazungumzo ni muhimu Kwa mustakabari wa afya za Watanzania huu mgogoro hauna tija.
Vyovyote lakini haikupaswa kuacha kupokea wagonjwa na kuwaondoa wagonjwa mahututi wodini ndani ya muda mfupi bila kujali madhara yatakayojitokeza.SIku ukielewa kuna Hospitali aina Nne utakuwa umekua kiakili..
Kuna FBO (Ambazo ni za kidini) hawa ni Non profit organisation
Kuna Serkali (Gavo)
Kuna Private ambao ni profitable Organisation
Na kuna private ambao ni charity organisation wanafnaya kazi chini ya Non profit..
Sasa huwezi kulazimisha Profitable organisation kuifanya iwe non profit..
Kuna nyimbo ya nyuma kidogo ya banza stone na Ali choki (Mchinga sound) inasema Elimu ya Mjinga ni majungu..
Tumieni akili sio mabavu! Mmeshindwa kwa hoja sasa mnataka kutumia nguvu…! Kwanini msiseme wote waende muhimbili? Kwanini serikali inataka kuwagandamiza watoa huduma kwa kigezo cha kuwasaidia wapewa huduma? Watu wengi hasa watumishi wa Umma wanakatwa pesa nyingi kwenye mishahara yao halafu mnaleta siasa! Hizo hospitali zitajiendesha vipi?Nchi za dunia ya tatu, usicheze na aliyeshika mpini ukiwa umeshika makali utaumia tu.
Soon wataanza kulia.
Na hii haihusiani na nani yupo right, nani ypo wrong.
Ila namjua atakayelia ni nani mwisho wa hili game.
Ummy anakwenda kutuletea janga…hawa watu kamwe wasigandamizwe wakaendesha huduma kwa hasara kwa kutudanganya kuwa kuna maboresho wakati hayazingatii uhalisia…..! Kitakachotoea ni kwamba na wao wataanza kuwabagua wenye bima na kuwanyima dawa na kuwakatalia baadhi ya Vipimo!Tatizo kubwa naliona ni mkurugenzi wa BIMA ameshupaza sana shingo na anamfanya waziri naye awe mbaya
Sana hizi hospitali zinapiga hela kiujanjajanja sana haswa kwa wagonjwa wa bimaBasi wajaribu kuendana na matakwa ya mikataba yao kama ikishindikana wafunge tu. Niliskia pahala walikuwa wanasema polyclinic binafsi zimekuwa nyingi, watu wa sera wanajaribu kuzipunguza maana tusiwe waongo NHIF imewatajirisha wamiliki wengi wa hospitali binafsi.
Samahani Ulikuwa na Umri gani pale Migomo ya madakatri ilipokuwa ikifanyika??Vyovyote lakini haikupaswa kuacha kupokea wagonjwa na kuwaondoa wagonjwa mahututi wodini ndani ya muda mfupi bila kujali madhara yatakayojitokeza.
Kwa mfano vyovyote itakavyokuwa alafu wale wagonjwa wakapoteza maisha kutokana na huo magodoro ni Nani anaweza kufidia uhai?