Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Kwenye bima mbona unanipa mashaka na identity yako umeelewa nilichoandika.
Maybe sijaelewa ulichosema kwamba wanatoa dawa nyingi kwako..
Then unasemaje wao hawapati hasara..
Polypharmacy kwenye Bima Inakatwa sana na haikubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…