Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Hilo ni kosa la hao wahusika wa huo mfuko.kwasababu kama hayo yalikua yanafanyika ina maana na wao nhif walikua wanufaika.na hayo ni makosa na ubadhirifu wa ela za mfuko.sasa tusihalalishe makosa ya watu kwa makosa mengine.sisi wanachama tunachokitaka ni huduma bora.
Huduma bora mtapata kule kwenye hospitali zitakazofata maelekezo ya NHIF, Kwani wapi NHIF wamesema msipate huduma bora..? Btw, private institutions hazilazimishwi (not obliged) kuomba wafanye kazi na NHIF ila athari za hio kitu zitawatafuna wao, serikali na nyie wagonjwa.
 
Hiyo uliyoscreenshot kuonyesha dawa na price zake
Ndo hiyo hiyo Mkuu ipo kuanzia Ngazi ya Chini sana na mpaka ngazi ya Juu..
Ninazo nyingi but nitakutumia nikikaa poa zipo kuanzia Dispensary level mpaka National Hopital Level
 
hahaha, usifanye mzaa na aliyeshika makali bhn, anakukata muda wowote. APHFTA yamemshinda.
Wanarudi mezq ya majadiliano.. hao wataalamu wa afya kuna sehemu watajua. Namna ya kufanya comeback siku ukienda kutibiwa ndio utajua hujui...
hahaha, usifanye mzaa na aliyeshika makali bhn, anakukata muda wowote. APHFTA yamemshinda.
 
Attachments

  • IMG-20240302-WA0852.jpg
    IMG-20240302-WA0852.jpg
    187 KB · Views: 4
Ila Awamu hii ni zaidi aisee
Dr bado me najiuliza hivi ni kweli mtu avunjike mguu halafu gharama ya kumukea hogo iwe 12,000/= hivi hawa watu ni wazima kweli ? Hivi elfu 12 ndio gharama ya kumhudumia mtu aliyevunjika mguu? Hivi Ummy Mwalimu mbona anafanya mzaha sana

Dr Mambo Jambo kama inawezekana kuweka hapa vipengele vya gharama na huduma kwenye hicho kitika tukijadili tusaidie mfano hii ya hogo nimeitoa kwa Malisa imebidi nicheke nikajiuliza hivi Ummy alishawai kufanya hata biashara ya mihogo?

Ndio maana namkubali sana @Dr ngwajima maana yeye kwenye mambo kama haya huwa anakuja direct hapa tunapambana nae kwa hoja na anajibu maswali yetu maana kwanza si muoga! Naamini Ummy angekuwa na ubavu wa kuja uku angeelewa…lakini ni muoga maana hana la kutuambia hata @wizara ya afya nao wapo humu wanaogopa kujibu lolote kwa sababu ya uongo uongo!
 
Attachments

  • IMG_2049.jpeg
    IMG_2049.jpeg
    594.6 KB · Views: 2

Ni nyingi sana ila nilipata Muda baada ya mazishi ya Mh Rais mstaafu tutachambua
 
Basi huenda kwa Mirembe kwa sababu ni Hospitali ya Taifa ya Mental Health huenda wanapokea Ruzuku ya Punguzo la Dawa..
ILa kwa sokoni haiko hivyo..

Tukumbuke Private haipati Ruzuku kutoka serkalini inajiendesha yenyewe
Sawa Mkuu,,, kwa kweli garama imeshuka sana maana mirembe wao kwa sasa olanzapine gm 10 ,wanauza tsh 300 kwa tembe moja akati kuna phamarcy zipo zipo mkabala na general hospital ya Dodoma ,wanauza tsh 1500 tena kwa kidonge cha gm 5 ,, hapo pamoto sana kwa family zisizo na uchumi mkubwa.
 
Dr bado me najiuliza hivi ni kweli mtu avunjike mguu halafu gharama ya kumukea hogo iwe 12,000/= hivi hawa watu ni wazima kweli ? Hivi elfu 12 ndio gharama ya kumhudumia mtu aliyevunjika mguu? Hivi Ummy Mwalimu mbona anafanya mzaha sana

Dr Mambo Jambo kama inawezekana kuweka hapa vipengele vya gharama na huduma kwenye hicho kitika tukijadili tusaidie mfano hii ya hogo nimeitoa kwa Malisa imebidi nicheke nikajiuliza hivi Ummy alishawai kufanya hata biashara ya mihogo?

Ndio maana namkubali sana @Dr ngwajima maana yeye kwenye mambo kama haya huwa anakuja direct hapa tunapambana nae kwa hoja na anajibu maswali yetu maana kwanza si muoga! Naamini Ummy angekuwa na ubavu wa kuja uku angeelewa…lakini ni muoga maana hana la kutuambia hata @wizara ya afya nao wapo humu wanaogopa kujibu lolote kwa sababu ya uongo uongo!
Tatizo waTanzania mnaletaga emotions sehemu ya kutumia akili. I am not supporting hiki kitita kipya either lakini 12k kwa POP is okay, hio ni gharama tu ya huduma. Bado NHIF wanalipa consultation fee hapo na kama kuna any diagnostic imaging itafanyika watalipa pia. Wengi mnalalamika ili muonekane na nyie mnafatilia current issues ila madai hayana mashiko. Wachache sana ndo wanaelewa nini kinalalamikiwa na wanagusa exactly where it needs to be discussed. Acheni emotions ndugu mwananchi, mnafanya hata wenye hoja muhimu waonekane wote hawana akili.
 
Kwa hiyo hospitali binafsi kulalamika ni kama wehu na hawana hoja? Ni kweli kabisa ni halali kabisa mtu kufungwa hogo kwa 12,000/= ? 😂😂😂
 
Atakayelia ni mwananchi mwanachama wa huo mfuko.Hao wizara ndio wenye shida.sasa wanapotumia nguvu wakati mfuko wameufuja wenyewe nikusababisha shida kwa mgonjwa ambaye ni mwanachama.kinachowapa jeuri hospital za private ni ubora wa huduma kitu ambacho hospital za serikali kimewashinda.Sasa kitakachofuata ni huduma za afya kuzorota kwa hospitali za private na hiyo ni hasara kwa mgonjwa kwasababu yeye ndiye aliyefwata huduma bora kinyume chake ni kifo vya kizembe kama vinavyotokea hospitali za serikali.
Wananchi kulia Tanzania ni jambo la kawaida. . .
 
Kwa hiyo hospitali binafsi kulalamika ni kama wehu na hawana hoja? Ni kweli kabisa ni halali kabisa mtu kufungwa hogo kwa 12,000/= ? 😂😂😂
Unataka afungwe kwa shilling ngapi..?
 
Huu uongo utautubu Lini??
Uongo wa nn wanakupa dawa nyingi ili wapige hela kuna hospital moja ilikuwa ukienda hata kama una tatizo dogo lakini lazima wakupe kitanda ulale ili wapige hela na kuweka drip za uongo.
 
Uongo wa nn wanakupa dawa nyingi ili wapige hela kuna hospital moja ilikuwa ukienda hata kama una tatizo dogo lakini lazima wakupe kitanda ulale ili wapige hela na kuweka drip za uongo.
Sasa ukipewa dawa nyingi wao hawali hasara ya kutoa Dawa hizo nyingi???
 
Serikali irekebishe miundo mbinu na huduma zake iwahudumie watu wake fully. Mbona hii iko wazi kibiashara!?
 
Hospitali binafsi ziache uhuni. Kimsingi serikali yenye ndio ilianza kudekeza haya mambo baada ya wakwepa kodi wa kariakoo kutishia kufunga maduka. Ikamlazimu waziri mkuu kusimama masaa kadhaa akiwasikiliza. Wakatoa madai yaonwaendelee kukwepa kodi.

Madawa yameteremka bei kutokana na sababu mbalimbali unalazimishaje bei iwe ile ile? Mbona madawa yaliyopanda bei hawasemi. Kumwona daktari hawasemi. Zamani kuosha damu ilikuwa 500,000 leo 150,000 wanataka ibaki 500,000?.

Waacheni wasipokee wagonjwa wa NHIF. Hospitali za serikali ni nzuri sana kwa sasa. Nashangaa watu wanaenda hospitali binafsi.
Daktari yule wa hospitali binafsi anatoka hospitali ya serikali. Akifika hosp binafsi, kumeona ni mara 2 ya hosp ya serikali. Amepandaje bei wakati kichwa ni kile kile?Halafu mnalia lia tengenezeni madaktari wenu.
Watanzania tuko more than 60 milion hebu tuambie kuna jumla ya hospitali, vituo vya afya na zahanati ngapi nchi nzima? Je hospitali za serikali ni asilimia ngapi na za binafsi ni asilimia ngapi? Je wewe kama hapo unapoishi ni jirani na hospitali ya serikali una hakika kila Mtanzania yuko jirani na hospitali ya serikali? Kingine wenye hizo hospitali binafsi wameajiri watanzania wenzako wangapi? Hoja yangu ni kwamba tujadili kiini cha tatizo na siyo kuanza kujadili ubaguzi, leo unahamasisha watu waachane na hospitali binafsi kesho utahamia kwenye shule binafsi Vs za serikali. Miaka ya nyuma hizi bima za afya zilikuwa nyingi tuu Jubilee, AAR, Strategy etc mpaka NSSF walikuwa na bima ya afya, jambo hili lilikuwa zuri kwa sababu kulikuwa na uwigo mpana wa hizi huduma na wafanyakazi na watu wengine walikuwa huru kuchagua mfuko waupendao. Jambo hili lilifanyika NHIF kutozidiwa na wateja na hivyo mfuko kuwa na uwezo wa kuhimili. Sasa hivi mfuko umezidiwa na ukichanganya na changamoto za uendeshaji (mfano kukopeshana fedha za wanachama) ndiyo kabisaaa...
 
Msajili hawezi kuzifungia hospitali kwa kugoma kuhudumia wagonjwa wa bima ya NHIF. Hapo zaidi zaidi NHIF ataanza ku terminate mikataba yake na hospitali za private, kisheria yuko sahihi kufanya hivyo. Long run naona wakija kuzifanyia changes hizo bei za kitita kipya na wakiongeza masharti magumu kwa watoa huduma ambao watataka kuomba upya mikataba ya NHIF. Watu wa policy huwa wanacheza tu na akili zenu.
CCM wanaweza kuzifungia, uliona waziri Ummy alisema wakiwaondoa wagonjwa wanafungiwa kutoa huduma. CCM wao wanajiona wako juu ya sheria. NHIF ni mali yao na wanajichotea mapesa tu huko, ahalafu watoa huduma wanasotea malipo yao.

Hizi ni siasa, za ccm wao kama wanataka na wanaweza, wafute mikataba na watoa huduma wa private hospital. Hawa private hospital wanaweza kujiendesha bila hao NHIF, kwasababu walifanya hivyo muda mrefu kabla hawa NHIF hawajaja.

Serikali inataka itoe bei elekezi kwenye huduma, wakati vitendea kazi, mazinira ya utendaji na malipo ya waajiriwa private ni tofauti na kule Serikalini.

Bei Elekezi wapeleke hospitali zao ccm, hizi private waziache.
 
Back
Top Bottom