Dr bado me najiuliza hivi ni kweli mtu avunjike mguu halafu gharama ya kumukea hogo iwe 12,000/= hivi hawa watu ni wazima kweli ? Hivi elfu 12 ndio gharama ya kumhudumia mtu aliyevunjika mguu? Hivi Ummy Mwalimu mbona anafanya mzaha sana
Dr
Mambo Jambo kama inawezekana kuweka hapa vipengele vya gharama na huduma kwenye hicho kitika tukijadili tusaidie mfano hii ya hogo nimeitoa kwa Malisa imebidi nicheke nikajiuliza hivi Ummy alishawai kufanya hata biashara ya mihogo?
Ndio maana namkubali sana @Dr ngwajima maana yeye kwenye mambo kama haya huwa anakuja direct hapa tunapambana nae kwa hoja na anajibu maswali yetu maana kwanza si muoga! Naamini Ummy angekuwa na ubavu wa kuja uku angeelewa…lakini ni muoga maana hana la kutuambia hata @wizara ya afya nao wapo humu wanaogopa kujibu lolote kwa sababu ya uongo uongo!