Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

Hapa kazi tu wazungu ndo nani? Hata waje mia our professors are the best. We have facts acheni uwoga.
 
Halafu utashangaa wawakilishi wa Serikali yetu watakuwa hawa wafuatao:-
1. Bashite
2. Lusinde
3. Deo Sanga
4. Mtemi Chenge
N.k.

Hapo ndipo huwa nasema Tanzania ni watu wa ajabu sana
Mkuu,umemsahau mrisho gambo.
 
Makinikia peke yake yame trigger 108Tri...TZS. Won't be walk in the park. Ikikaa hivyo kutakuwa na phase II hiyo miche wamevuna kiasi gani. Tafakari
 
Watu kwa kupenda kutunga mambo....Hii si board ya kampuni ya Barrick gold!!!
 
Haya niliyasema juzi; wengine kweli kabisa mkiitwa kuzungumza na mzungu mnajihisi kizunguzungu.
 
Hadi waweke video , kwani hawajui kama Magufuli amekataza kuwahusisha wazee wale wawili wastaafu kwenye makinikia.
 
Halafu utashangaa wawakilishi wa Serikali yetu watakuwa hawa wafuatao:-
1. Bashite
2. Lusinde
3. Deo Sanga
4. Mtemi Chenge
N.k.

Hapo ndipo huwa nasema Tanzania ni watu wa ajabu sana

Apo mtemi chenge ndio pekee yk anaejitambua jp akiingia atawaza dili tu apo vp apige
 

....... Newt Gingrich ........!
 
Aliekudanganya kuwa wazungu wanamuogopa nyerere nani? Kuna ambao hata huyo nyerere hawamjui hata kama aliexist duniani! Na hadi leo kuna biashara za utumwa tembea uone naona umejifunika blanketi koromije
 

Tanzania Kama Ikiwa Reasonable, Nadhani Wanaweza Kupata stahiki ya Madini. Lakini Pia hawa Majamaa, Hawatasamehe, Kuna Mtu atakatwa Maninilii, sooner or Later, The Shadowy Forces of Political and Business on Global scale never Forget or Forgive, Key word, "Never Forgive"
 
Hao sio wajumbe wa bodi hao ni top management ya Barrick ndg.Rejea gazeti la mwananchi la juzi km sikosei tarehe 16/6/2017.KasomWWF vzr content ukisoma heading pekee kuna madhara yake.
 
Usemalo ni ukweli 100%!
Nilikuwa kampuni fulani multinational, tukawapa tenda fulani wachina, kwenye negotiations tukawabana wavimba macho kutupatia additional free solutions (actually zilikuwa automated system reports plus few softwares). Nilikuja kushangaa kampuni inayomilikiwa na serikali ilitoa same tender but wavimba macho waliwapiga bei juu na zile free solutions wachina wakawachaji tena millions of shillings!! Aisee niliumia sana sana.

Na ukiomba nafasi / kazi angalau ukatumie uzoefu wako kuisaidia nchi, haupati ng'oo, jamaa sijui wanaajiri kwa vigezo gani aisee, basi mwisho wa siku unapotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…