Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu ni kwamba kama majadiliano yataendeshwa kwa kutumia mikataba na sheria husika kama reference, it is not going to a walk in the park. Negotiation skills za wataalamu wetu zitakuwa tested na what we get or dont get in the end will depend the cards in the hands of our negotiation team. LORD help us!Dah!
Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!
Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!
Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?
Bure kabisa!!!!!
Ukweli mchungu ni kwamba kama majadiliano yataendeshwa kwa kutumia mikataba na sheria husika kama reference, it is not going to a walk in the park. Negotiation skills za wataalamu wetu zitakuwa tested na what we get or dont get in the end will depend the cards in the hands of our negotiation team. LORD help us!
Ndio maana ningependa Serikali iache kuwekeza kwenye elimu ya siasa,biashara na sheriaDah!
Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!
Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!
Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?
Bure kabisa!!!!!
Usiwe na presha ...kwa kuwa migodi ipo ndani ya tz...hiyo ni hatua moja mbeleMamaeee watakuwa wanaiba sana na hawataki kuacha inawezekana tunaibiwa madini ya dhamani kubwa kuliko mafuta wanayo iba huko Libya na Iraq ndio maana wanataka kuwatisha ma professor wetu na siyo ajabu kila mmoja akaja na private jet kama alivyokuja nayo huyo tapeli mwingine aliyeitwa nani vile???
inabidi wewe akili Kubwa kuliko watanzania wote utuwakilisheDah!
Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!
Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!
Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?
Bure kabisa!!!!!
Unalazimisha uonyeshwe kitu ambacho hutaki kukiona?Nionyeshe chifu, ndiyo maana ya mjadala! Nieleweshe ili nione jinsi alivyoumbuliwa. Watu hatuwezi kuona mambo kwa usawa kwa wakati mmoja.
inabidi wewe akili Kubwa kuliko watanzania wote utuwakilishe
Wakuu kazi haitakuwa ya Kitoto na tunatakiwa tuandae jopo letu la wataalamu na wanasheria vichwa n'a makini sana. Inasemekana Bodi ya Ushauri ya Kimataifa itakuwepo katika mazungumzo yajayo kati ya Barrick/Acacia n'a Serikali ya Tanzania. Kazi ya Bodi hii itakuwa ni kutoa Ushauri katika Mikataba iliyosainiwa zamani n'a pande hizo mbili. Sasa huenda katika mazungumzo hayo tukawashinda n'a tukapata pesa zetu au tukaambulia patupu kwa kuwa Mikataba tuliisaini wenyewe n'a makubaliano tuliingia. Na Nadhan watakuja na ushahidi wa picha, vielelezo na video.
Nisiende mbali, Hebu wajue wajumbe wa Bodi hii ya Ushauri ya kimataifa, tukiwajua itakuwa vizuri kujiandaa na kuwaandaa wataalamu wetu:
Bodi Ina members 12 ambapo wako Mawaziri Wakuu wastaafu wawili na mawaziri wengine wanne wa nchi nne tofauti na inaongozwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Brian Mulroney. Pia kuna Waziri Mkuu wa zamani wa Hispania, Jose Maria Aznar na Spika wa zamani wa bunge la wawakilishi la Marekani, Newt Gingrich. Yumo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, John Baird na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, William Cohen na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Shirikisho la Ujerumani, Karl-Theodor zu Guttenberg. Yumo aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Margreth Thatcher na John Major kuhusu masuala ya nchi za nje. Pia yuko Mtanzania na mwafrika pelée Balozi Juma Mwapachu.
ngoja tusubiri manyani wafanye yao hakuna shida shamba ni labwana heri!!Usiwe na presha ...kwa kuwa migodi ipo ndani ya tz...hiyo ni hatua moja mbele
Umeandika bandiko reefu ambalo sikuona umuhimu wa kulinukuu. Mimi sijioni duni eti kwa kuwa situmii lugha ya Kiingereza kwa mawasiliano ama kwamba eti natamani kuijua lakini siwezi.Hahahaaaaa ndo maana nakwambia hujui ulisemalo wewe. Unasoma mambo lakini huelewi unachokisoma.
Wakuu kazi haitakuwa ya Kitoto na tunatakiwa tuandae jopo letu la wataalamu na wanasheria vichwa n'a makini sana. Inasemekana Bodi ya Ushauri ya Kimataifa itakuwepo katika mazungumzo yajayo kati ya Barrick/Acacia n'a Serikali ya Tanzania. Kazi ya Bodi hii itakuwa ni kutoa Ushauri katika Mikataba iliyosainiwa zamani n'a pande hizo mbili. Sasa huenda katika mazungumzo hayo tukawashinda n'a tukapata pesa zetu au tukaambulia patupu kwa kuwa Mikataba tuliisaini wenyewe n'a makubaliano tuliingia. Na Nadhan watakuja na ushahidi wa picha, vielelezo na video.
Nisiende mbali, Hebu wajue wajumbe wa Bodi hii ya Ushauri ya kimataifa, tukiwajua itakuwa vizuri kujiandaa na kuwaandaa wataalamu wetu:
Bodi Ina members 12 ambapo wako Mawaziri Wakuu wastaafu wawili na mawaziri wengine wanne wa nchi nne tofauti na inaongozwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Brian Mulroney. Pia kuna Waziri Mkuu wa zamani wa Hispania, Jose Maria Aznar na Spika wa zamani wa bunge la wawakilishi la Marekani, Newt Gingrich. Yumo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, John Baird na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, William Cohen na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Shirikisho la Ujerumani, Karl-Theodor zu Guttenberg. Yumo aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Margreth Thatcher na John Major kuhusu masuala ya nchi za nje. Pia yuko Mtanzania na mwafrika pelée Balozi Juma Mwapachu.
Ndiyo maana nimekwambia kwamba kwa kujua huko kiingereza unawaona wale wasioijua lugha hiyo ni majuha, jambo ambalo ndiyo ujuha wenyewe.
tulivyokuwa tunaingia mikataba mibovu kwani tulikuwa nyani kama wewe jua maana ya power of negotiationsDah!
Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!
Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!
Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?
Bure kabisa!!!!!
Dah! Kazi kweli kweli!! Ombi rahisi kabisa, lakini unali-complicate balaa!Unalazimisha uonyeshwe kitu ambacho hutaki kukiona?
Sasa kama ni rahisi tatizo liko wapi?Dah! Kazi kweli kweli!! Ombi rahisi kabisa, lakini unali-complicate balaa!