Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

Mimi nina Imani sana na rahisi Magufuli ni mtu Mwenye msimamo na asiyeteteleka kutetea maslai ya nchi yeye ni tofauti na wengine wengine naamini katika hili Tanzania tuibuka kidedea. GOD BLESS OUR TANZANIA BLESS HER PRESIDENT DR.MAGUFURI.
 
Hakuna kuwaogopa
Kama walikimbia na ndege kuja kuomba poo
Tutawashinda kwa TKO
 
Dah!

Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!

Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!

Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?

Bure kabisa!!!!!
Ukweli mchungu ni kwamba kama majadiliano yataendeshwa kwa kutumia mikataba na sheria husika kama reference, it is not going to a walk in the park. Negotiation skills za wataalamu wetu zitakuwa tested na what we get or dont get in the end will depend the cards in the hands of our negotiation team. LORD help us!
 
We might as well throw in the towel.

There's no point going ahead with it because our goose is cooked already!
 
Dah!

Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!

Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!

Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?

Bure kabisa!!!!!
Ndio maana ningependa Serikali iache kuwekeza kwenye elimu ya siasa,biashara na sheria
 
Mamaeee watakuwa wanaiba sana na hawataki kuacha inawezekana tunaibiwa madini ya dhamani kubwa kuliko mafuta wanayo iba huko Libya na Iraq ndio maana wanataka kuwatisha ma professor wetu na siyo ajabu kila mmoja akaja na private jet kama alivyokuja nayo huyo tapeli mwingine aliyeitwa nani vile???
Usiwe na presha ...kwa kuwa migodi ipo ndani ya tz...hiyo ni hatua moja mbele
 
Dah!

Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!

Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!

Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?

Bure kabisa!!!!!
inabidi wewe akili Kubwa kuliko watanzania wote utuwakilishe
 
Nionyeshe chifu, ndiyo maana ya mjadala! Nieleweshe ili nione jinsi alivyoumbuliwa. Watu hatuwezi kuona mambo kwa usawa kwa wakati mmoja.
Unalazimisha uonyeshwe kitu ambacho hutaki kukiona?
 
Nafikiri kutunishiana misili kati ya watawala na wapinzani haina tija kwa taifa, watanzania wangependa tuende kwenye mazungumzo na hawa jamaa tukiwa wamoja, serikali (watawala) wasijione wao ndo wao, wawashirikishe wapinzani kwenye hili, TL ningeonba saana asikikizwe hoja zake na awe mjumbe kwenye kamati hii ya mazungumzo.
 
Wakuu kazi haitakuwa ya Kitoto na tunatakiwa tuandae jopo letu la wataalamu na wanasheria vichwa n'a makini sana. Inasemekana Bodi ya Ushauri ya Kimataifa itakuwepo katika mazungumzo yajayo kati ya Barrick/Acacia n'a Serikali ya Tanzania. Kazi ya Bodi hii itakuwa ni kutoa Ushauri katika Mikataba iliyosainiwa zamani n'a pande hizo mbili. Sasa huenda katika mazungumzo hayo tukawashinda n'a tukapata pesa zetu au tukaambulia patupu kwa kuwa Mikataba tuliisaini wenyewe n'a makubaliano tuliingia. Na Nadhan watakuja na ushahidi wa picha, vielelezo na video.
Nisiende mbali, Hebu wajue wajumbe wa Bodi hii ya Ushauri ya kimataifa, tukiwajua itakuwa vizuri kujiandaa na kuwaandaa wataalamu wetu:

Bodi Ina members 12 ambapo wako Mawaziri Wakuu wastaafu wawili na mawaziri wengine wanne wa nchi nne tofauti na inaongozwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Brian Mulroney. Pia kuna Waziri Mkuu wa zamani wa Hispania, Jose Maria Aznar na Spika wa zamani wa bunge la wawakilishi la Marekani, Newt Gingrich. Yumo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, John Baird na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, William Cohen na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Shirikisho la Ujerumani, Karl-Theodor zu Guttenberg. Yumo aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Margreth Thatcher na John Major kuhusu masuala ya nchi za nje. Pia yuko Mtanzania na mwafrika pelée Balozi Juma Mwapachu.

Kinachokutisha hapo ni nini..? Acha woga huingii wewe huko kwenye Majadiliano
Timu yote hiyo unayoitaja sijui umeipata wapi..! Haina kazi kubwa zaidi ya kutafuta kujisafisha tu, BARRICK ni kampuni kubwa na imetuhumiwa kuibia Nchi moja ya wanayoita maskini, kwa wenzetu TUHUMA hata kama hakuna ushahidi inapunguza uaminifu wako kwa jamii ndio maana wenzetu hao ukituhumiwa kwa lolote na uko kwenye nafasi unajiuzuru kwanza kulinda heshima yako ukisubiri hatua zingine sio kama huku kwetu wanang/ang'ania hadi watimuliwe, Pia kama umefuatilia vyombo vya habari vya nje na masoko ya Hisa, Hisa za Barrick zimeporomoka sana baada ya Ripoti namba mbili, ili kurudisha na kulinda heshima ni kutuma watu kama hao uliowataja waaminike watakaporudi kwao kutoa taarifa katika mazungumzo na taarifa yao ili kuifanya BARRICK kusimama na kuaminika tena, kumbuka Ni hao hao wanatoa misaada kwa nchi maskini toka kwenye kodi zao halafu wananchi wao wasikie kwamba wanatuibia kupitia Maliasili.
 
Hahahaaaaa ndo maana nakwambia hujui ulisemalo wewe. Unasoma mambo lakini huelewi unachokisoma.
Umeandika bandiko reefu ambalo sikuona umuhimu wa kulinukuu. Mimi sijioni duni eti kwa kuwa situmii lugha ya Kiingereza kwa mawasiliano ama kwamba eti natamani kuijua lakini siwezi.

Kuijua na kuitumia lugha ya Kiingereza kuna mazingaombwe gani yanatakiwa kufanyika ambayo wewe umeweza wengine watashindwa? Ndiyo maana nimekwambia kwamba kwa kujua huko kiingereza unawaona wale wasioijua lugha hiyo ni majuha, jambo ambalo ndiyo ujuha wenyewe.

Kwa viwango vyangu nakijua kiingereza kinachonisaidia pale inapohitajika kukitumia. Naishi kati ya watu wanaotumia Kiswahili katika maisha yao ya kila siku kwa zaidi ya asilimia 99.99. Kwa ivo kwangu Kiingereza si lugha ya mawasiliano na kwa hoja hiyo sijisikii unyonge wala kuwa duni kwa kutokuitumia ama kuijua kwa ufasaha lugha hiyo.

Hapa hoja yangu ulitaka kuonesha kwamba watu wanaogopa kukutana na wazungu, na unahoji kwani wao wana tofauti gani na sisi. Mimi nimekwambia kwamba hakuna mtu anayeogopa kukutana na wazungu bali wengine wetu tunachoogopa ni ile mikataba inayowafanya hao "wazungu" wawe wanatuibia wakati tunayo serikali inayofanya kazi kwa niaba yetu.

Wewe unajivika uwezo ambao hujaulizwa kama unao na kwa kuwa unatumia jina bandia hakuna anayejua kama kweli unao ama huna. Mathalani ungekuwa unajulikana ni nani kwenye maisha halisi labda watu wangekuunga mkono ama kukupinga. Hatuogopi Kesi ila watu hupatana pwani, baharini ni uvuvi!
 
Wakuu kazi haitakuwa ya Kitoto na tunatakiwa tuandae jopo letu la wataalamu na wanasheria vichwa n'a makini sana. Inasemekana Bodi ya Ushauri ya Kimataifa itakuwepo katika mazungumzo yajayo kati ya Barrick/Acacia n'a Serikali ya Tanzania. Kazi ya Bodi hii itakuwa ni kutoa Ushauri katika Mikataba iliyosainiwa zamani n'a pande hizo mbili. Sasa huenda katika mazungumzo hayo tukawashinda n'a tukapata pesa zetu au tukaambulia patupu kwa kuwa Mikataba tuliisaini wenyewe n'a makubaliano tuliingia. Na Nadhan watakuja na ushahidi wa picha, vielelezo na video.
Nisiende mbali, Hebu wajue wajumbe wa Bodi hii ya Ushauri ya kimataifa, tukiwajua itakuwa vizuri kujiandaa na kuwaandaa wataalamu wetu:

Bodi Ina members 12 ambapo wako Mawaziri Wakuu wastaafu wawili na mawaziri wengine wanne wa nchi nne tofauti na inaongozwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Brian Mulroney. Pia kuna Waziri Mkuu wa zamani wa Hispania, Jose Maria Aznar na Spika wa zamani wa bunge la wawakilishi la Marekani, Newt Gingrich. Yumo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, John Baird na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, William Cohen na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Shirikisho la Ujerumani, Karl-Theodor zu Guttenberg. Yumo aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Margreth Thatcher na John Major kuhusu masuala ya nchi za nje. Pia yuko Mtanzania na mwafrika pelée Balozi Juma Mwapachu.

Serikali na Barrick wote kwa pamoja wanataka win win, sio win loss uliyokuja nayo! Hapa ni sawa na umepiga tawire!!!!
 
Ndiyo maana nimekwambia kwamba kwa kujua huko kiingereza unawaona wale wasioijua lugha hiyo ni majuha, jambo ambalo ndiyo ujuha wenyewe.

Hilo la mimi kuwaona wasiojua Kiingereza kuwa ni majuha ni lako. Umeliumba kwenye akili yako. Kwangu halipo hata chembe.

Mimi kamwe siwaoni hivyo. Sijawahi kabisa kusema popote pale kuwa eti wasiojua Kiingereza ni majuha.

Hilo ni ono lako. Unadhani tu. Unahisi kuwa ni hivyo. Unasadiki tu kuwa mimi nawaona wasiojua Kiingereza ni majuha.

Nakuhakikishia huwezi kunionyesha mahala popote pale ambapo mimi nimewahi kusema hivyo.

Unasumbuliwa na maruerue. Unaona hadi yasiyokuwepo!!!

Kama Kiingereza changu, ambacho ni cha kawaida kabisa, wewe unakiona ni cha mbwembwe, na kwa msingi huo kinakufanya udhani, uone, uhisi, usadiki kwamba eti ambao hawakijui basi mimi nawaona wao kuwa ni majuha, jiangalie. Jifanyie tathmini maana ndo mwanzo wa umajinuni huo....kuona na kusikia yasokuwepo!!!!!
 
Dah!

Kwani hao nao si ni watu tu kama sisi!

Yaani tayari watu mshaonyesha hali ya kushindwa hata kabla ya kuanza kwa hayo mazungumzo kisa tu eti ya watu waliomo kwenye hiyo bodi ya hiyo kampuni!

Kwani tunaenda kushindana kurusha maroketi angani?

Bure kabisa!!!!!
tulivyokuwa tunaingia mikataba mibovu kwani tulikuwa nyani kama wewe jua maana ya power of negotiations
 
Sisi negotiation yetu haitakuwa ya kutumia nguvu wala maneno rukuki kama tu, tutakuwa na data zinazoonesha walivyotuibia kwenye makinikia na kwenye kodi zetu na Mirahaba.

Hizo sehemu tatu pekee tukiwa na uwezo wa kushawishi Dunia Basi tutalipwa.

Na tukishinda hapo Basi hata uwezo wa kubadilisha mapato yakawa ni 50/50 itakuwa wazi kabisa.

Kwa hiyo tukomae tu hadi mwisho.

Na. Mleta uzi, ametafasri uzi ulioletwa juzi Kwa kimalikia.

Ikumbukwe kuwa, hao jamaa na vyeo vyao vya zamani havina maana tena kwenye hili.
 
Back
Top Bottom