Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

Kwa akili zako hapo unaona utashinda nn ?
Mikataba ipo, mlisaini wenyewe na vipengele vyote vipo wazi, every detail clearly stipulated.

God knows wtf did someone lied na kutoa tafsiri ya urongo kuwa wametubu, watalipa. Hapo ndo inabidi msikitike sana maana so called mwizi akitubu si anapewa adhabu au samehewa ?

If it was, as it is claimed to be, basi uchimbaji ungesimamishwa asap, sasa mbona mizigo inaendelea kutoka km kawa.

BTW kuwaita vidume tayari tulishaonyesha weakness kubwa if that is where you base in running your mouth !!

 
wacha tupigwe tu ccm ndio ilitaka yatokee haya
 
Haya ni majina tu, usiogope.
Pia hawa jamaa ndo wenye mali ndo maana wote kwa ujumla Wao wanakuja kujitetea kwa udhalimu wao.
 
Hii bodi ya ushauri nani kaialika? Hawawezi kujialika! Tusiwaruhusu! Maana wezi wetu wanatoka huko huko!
 
Kwanza nani kawaalika hao watu,tumeshiriki katika maamuzi kwamba wawepo?What is going on here.Kuna kitu nyuma ya pazia.Frankly hatuhitaji hao watu katika majadiliano,kwa kuwa haitakuwa kesi mahakamani.Wanachopanga kufanya hawa ni kutu bully.These guys are bullies. Tuhakikishe kwamba kila kitu kinakwenda na kufanywa kufuatana na sheria zetu zilizopo.

Hata hivyo ni kweli kwamba ni lazima tuwe na wataalam mahiri.Ni lazima pia tu-identify clearly their mistakes.Tuende huku tunajua exactly wapi wamejikwaa.
 
Nyani siku zote ni nyani tu hata akiwa ngabu bado ni nyani tu, kila siku unawasifia wamarekani leo hii ndo unagundua kuwa nao ni binaadam kama sisi
 
Sema wabongo hatuna waandishi mahiri wa propaganda wanaojua kupress mambo. Hii issue ilitakiwa ishadadiwe na international news like CNN etc na issue za rushwa na credibility za taasisi kama lse ziwe questioned. So far tunaonekana mafala tu maana hakuna taasisi yeyote ya kiuchunguzi int. Iliyochukua Hatua madhubuti like other scandal zilizopelekea baadhi ya taasisi kupewa adhabu. Level yetu ya kufikiri na kupambanua mambo IPO questioned, Tumeangalia angle moja na kampuni moja tu tumeacha kiini ambacho ni uwezo wetu wa kujitawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…