Body spray gani au pafyum gani ukizichanganya zinatoa harufu ya kigentleman?

Body spray gani au pafyum gani ukizichanganya zinatoa harufu ya kigentleman?

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
1,819
Reaction score
2,134
habari

kama kichwa kinavojieleza hapo kuna sehem nilisikia ukichanganya baadhi ya pyafum au body spray zaidi ya moja znatoa harufu nzur halafu unique ningependa kujua mnapendekeza zipi

asanteni
 
Perfume inategemea uwezo wako ni upi mkuu...

Mfano mimi napenda kuchanganya Acqua di gio Profumo na the one ya Dolce & Gabanna.... nyingine ni Bleu de Chanel na Alure home sport ya Chanel... ya tatu ni Aventus Creed na Dior Sauvage

Perfume ninazotumia zenyewe tu na zina harufu strong na nzuri ni;

- Nautica voyage
- Cool water
- Le Male ya Paul Gaultier
- Acqua Di Gio Essenza ya Giorgio Armani

- Tomford Noir

-Guess Seductive Home
-Spice bomb ya Victor & Rolf

NB: hizo perfume hapo ni very expensive.
 
Unaweza tumia pure black body spray kwa kuchanganya bottega vanneta ila kwa hiyo perfume uandae pesa
 
Perfume inategemea uwezo wako ni upi mkuu...

Mfano mimi napenda kuchanganya Acqua di gio Profumo na the one ya Dolce & Gabanna.... nyingine ni Bleu de Chanel na Alure home sport ya Chanel... ya tatu ni Aventus Creed na Dior Sauvage

Perfume ninazotumia zenyewe tu na zina harufu strong na nzuri ni;

- Nautica voyage
- Cool water
- Le Male ya Paul Gaultier
- Acqua Di Gio Essenza ya Giorgio Armani

- Tomford Noir

-Guess Seductive Home
-Spice bomb ya Victor & Rolf

NB: hizo perfume hapo ni very expensive.
Mkuu unataka kuniambia unanunua zito hizo high end perfumes??

Creed aventus ni 700k+

Unaagiza nje au unanunua hapahapa??..au unaishi majuu??
 
Mie hata sijui, najinunuliaga tu kwa kupenda harufu na kuzichanganya. Na sina specific nabadili badili.
 
Mkuu unataka kuniambia unanunua zito hizo high end perfumes??

Creed aventus ni 700k+

Unaagiza nje au unanunua hapahapa??..au unaishi majuu??

Yap mkuu natumia branded tuu.... nanunua nje mkuu.
Huu ndo ugonjwa wangu aisee ninazo zaidi ya 50 zote ni za majina. Mfano Giorgio Armani nina perfume zake 8 tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom