Body spray gani au pafyum gani ukizichanganya zinatoa harufu ya kigentleman?

Hahahaaaa!! Mie nahisi nitaumwa walah.

Niliwahi kununuliwa moja ya oriflame kuja kujua bei yake hela iliniuma kama nimetoa mimi. Kati ya vitu naumwaga nikinunua ni simu na perfume.
inakaa sana ... mie nakaga nayo hy moyo hauumi..itafute
 
Tupe testimony chief..

Ushawahi kupata attention kisa unyunyu??..or serious complement??!!

Aisee sana tu mkuu, mfano nikichanganyaga Creed Aventus na Invictus au Bleu de Chanel huwa ni balaa!! Nimepata attention za kutosha kwaajili ya perfume achilia mbali compliments
 
Hahahaaaa!! Mie nahisi nitaumwa walah.

Niliwahi kununuliwa moja ya oriflame kuja kujua bei yake hela iliniuma kama nimetoa mimi. Kati ya vitu naumwaga nikinunua ni simu na perfume.

Haha Espy umenifanya nicheke mrembo unaumia Oriflame ambazo bei zake nyingi hazizidi 150? Mfano mimi hizo nilizoorodhesha hapo bei ya chini ni 70$ labda na hiyo Creed Aventus ni $425 na nipo radhi nilale njaa ila niipate
 
Kweli mkuu tunatofautiana, simu na perfume zinaniuma balaa kununua.

Back
Top Bottom