Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Weee unafanya kuzimix tu kama mbili tatu hiviiKwakweli, sio kwa madolari hayo.
Kitu cha buku tano kunukia kama koteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee unafanya kuzimix tu kama mbili tatu hiviiKwakweli, sio kwa madolari hayo.
Kitu cha buku tano kunukia kama koteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee unafanya kuzimix tu kama mbili tatu hivii
Umejua kunivunja mbavu this night bossTaratibu, mbavu bandia zimeisha
Umejua kunivunja mbavu this night boss
Hahahaaaaaaa dah! Mkuu kwa majibu hayo nimecheka sana dah! Haaa aiseeeNijubu nini sasa hapo unafikilia ukuona jukwaa la urembo uko mkaenda kujadili na wenzako au kwakua umeona hoja mchanganyiko umeamua tuletea mchanganyiko wa body spray
😂😂😂😂Kiboko..Pole kwa hilo, ukitumia hiyo ni fresh air hata mbu hakufuati
mkuu hizo perfume za laki moja[emoji23][emoji23] daaah sitaweza
sina muda wa kupoteza na mtu usiejitambuahongera kwa kumaliza kidato cha nne, umekuja lini mtaani? simu umenunuliwa mpya au umepewa used na shangazi? vipi mitihani ilikuaje lakin?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa mikoan mtaacha lin kuwa wachaf wachaf na majasho yenuWanaume wa dar mtabadilika lini?yaani ata body spray mnachanganya zaidi ya moja...hahahaahaaaaa
Hit spray na Rungu spray.habari
kama kichwa kinavojieleza hapo kuna sehem nilisikia ukichanganya baadhi ya pyafum au body spray zaidi ya moja znatoa harufu nzur halafu unique ningependa kujua mnapendekeza zipi
asanteni
ushawah jarb?Hit spray na Rungu spray.
HahahahaUkiona JF zimeanza post za ajabu ajabu hivi tambua shule zimeanza kufungwa so wanafunzi washaanza log in JF.
Hit spray na Rungu spray.
Hahahaha
Pita kimya kimya mzee na kwapa lako linalotema..am kidding
True[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa mikoan mtaacha lin kuwa wachaf wachaf na majasho yenu
ipo fresh hiiI use gravity