Body spray gani au pafyum gani ukizichanganya zinatoa harufu ya kigentleman?

Hahahahaaa!! Za bei rahisiiii.
Simu ghali nilowahi kununua ni ya laki4 walahi hela yangu iliniuma kila nikiiangalia simu napatwa hasira ilibidi nimpe dogo tu.
Duh kama simu inakuuma pia inamaana unatumia za aina gani?
 
Kweli mkuu unazijua zote za ukweli hata mi nnazo Nautica Voyage, Spice bomb, Tom Ford Tobacco' vanille, Azarro wanted ,Giorgio Amani Aqua DI, Angel Men etc kitu ambacho wabongo wengi hawajui kuanzia Blackfriday ianze nyingi zimepungua bei zaidi ya 50% online purchase ktk Top supermarket USA
Perfume inategemea uwezo wako ni upi mkuu...

Mfano mimi napenda kuchanganya Acqua di gio Profumo na the one ya Dolce & Gabanna.... nyingine ni Bleu de Chanel na Alure home sport ya Chanel... ya tatu ni Aventus Creed na Dior Sauvage

Perfume ninazotumia zenyewe tu na zina harufu strong na nzuri ni;

- Nautica voyage
- Cool water
- Le Male ya Paul Gaultier
- Acqua Di Gio Essenza ya Giorgio Armani

- Tomford Noir

-Guess Seductive Home
-Spice bomb ya Victor & Rolf

NB: hizo perfume hapo ni very expensive.
 
Hahahahaaa!! Za bei rahisiiii.
Simu ghali nilowahi kununua ni ya laki4 walahi hela yangu iliniuma kila nikiiangalia simu napatwa hasira ilibidi nimpe dogo tu.

Teh teh kweli tunatofautiana mi simu natumia kwa model ya mwaka mfano iPhone ya mwaka huu ikitoka nahamia huko kutumia iPhone ya nyuma najikuta mzee nisiyeenda na wakati.
 
Kweli mkuu unazijua zote za ukweli hata mi nnazo Nautica Voyage, Spice bomb, Tom Ford Tobacco' vanille, Azarro wanted ,Giorgio Amani Aqua DI, Angel Men etc kitu ambacho wabongo wengi hawajui kuanzia Blackfriday ianze nyingi zimepungua bei zaidi ya 50% online purchase ktk Top supermarket USA
Wazee wa kunukia ..unyunyu kama wote
 
Ukibadili hii ya sasa hivi utukumbuke na sie waja jamani.
Teh teh kweli tunatofautiana mi simu natumia kwa model ya mwaka mfano iPhone ya mwaka huu ikitoka nahamia huko kutumia iPhone ya nyuma najikuta mzee nisiyeenda na wakati.
 
Kweli mkuu unazijua zote za ukweli hata mi nnazo Nautica Voyage, Spice bomb, Tom Ford Tobacco' vanille, Azarro wanted ,Giorgio Amani Aqua DI, Angel Men etc kitu ambacho wabongo wengi hawajui kuanzia Blackfriday ianze nyingi zimepungua bei zaidi ya 50% online purchase ktk Top supermarket USA

Sana mkuu, mi kila house of perfume lazima niwe nazo kadhaa, mfano Giorgio Armani nnayo Acqua di gio Essenza na profumo, Armani code, Stronger with you na Armani code profumo. Ukija kwa Aventus ninayo Creed na Irish tweed. Hawa akina Chanel, Dior, Michael Kors, Guess, Isey miyake Paco Rabanne ndo usiseme.

Black Friday ndo nanunuaga za kutosha
 
Perfume inategemea uwezo wako ni upi mkuu...

Mfano mimi napenda kuchanganya Acqua di gio Profumo na the one ya Dolce & Gabanna.... nyingine ni Bleu de Chanel na Alure home sport ya Chanel... ya tatu ni Aventus Creed na Dior Sauvage

Perfume ninazotumia zenyewe tu na zina harufu strong na nzuri ni;

- Nautica voyage
- Cool water
- Le Male ya Paul Gaultier
- Acqua Di Gio Essenza ya Giorgio Armani

- Tomford Noir

-Guess Seductive Home
-Spice bomb ya Victor & Rolf

NB: hizo perfume hapo ni very expensive.
We jamaa ni mrembo hatari
 
habari

kama kichwa kinavojieleza hapo kuna sehem nilisikia ukichanganya baadhi ya pyafum au body spray zaidi ya moja znatoa harufu nzur halafu unique ningependa kujua mnapendekeza zipi

asanteni
hongera kwa kumaliza kidato cha nne, umekuja lini mtaani? simu umenunuliwa mpya au umepewa used na shangazi? vipi mitihani ilikuaje lakin?
 
Back
Top Bottom