Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Dolce Gabbana light blue na Georgio Armani
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mkuu unataka kuniambia unanunua zito hizo high end perfumes??Perfume inategemea uwezo wako ni upi mkuu...
Mfano mimi napenda kuchanganya Acqua di gio Profumo na the one ya Dolce & Gabanna.... nyingine ni Bleu de Chanel na Alure home sport ya Chanel... ya tatu ni Aventus Creed na Dior Sauvage
Perfume ninazotumia zenyewe tu na zina harufu strong na nzuri ni;
- Nautica voyage
- Cool water
- Le Male ya Paul Gaultier
- Acqua Di Gio Essenza ya Giorgio Armani
- Tomford Noir
-Guess Seductive Home
-Spice bomb ya Victor & Rolf
NB: hizo perfume hapo ni very expensive.
Mie hata sijui, najinunuliaga tu kwa kupenda harufu na kuzichanganya. Na sina specific nabadili badili.
Mkuu unataka kuniambia unanunua zito hizo high end perfumes??
Creed aventus ni 700k+
Unaagiza nje au unanunua hapahapa??..au unaishi majuu??
Yap mkuu natumia branded tuu.... nanunua nje mkuu.
Huu ndo ugonjwa wangu aisee ninazo zaidi ya 50 zote ni za majina. Mfano Giorgio Armani nina perfume zake 8 tofauti tofauti.
Haha kwahyo huna signature perfume? So unaimgia tu unanusa nusa zile za elfu kumi kumi?